Ulishawahi fanya interview ukaona kabisa hutoboi?

🀣🀣🀣🀣🀣🀣 ahsee huu n uuaji kweny Data structure hapo
 
Wakati ndio nimemaliza Chuo tu nilipata usahili pale U.S Embassy kwenye usahili nilikutana na dada anaasili ya kiarabu sijui kihindi ana accent nzuri ya kiamerica aliniswetisha sitasahau nikawa najiuliza Hawa wamarekani kila mtu ni CIA. Alikua anajua vitu vingi Hadi akaanza kunipa ushauri kama Mimi ndio mwenye Nchi
 
Tare 03 hivi nikikua na interview, Position ilikua Senior sales mahali fulani, sasa kufika nikakuta tuko watu wa5. Nika screen watu watatu nikaona wote na wamudu ila huyu wa nne nikagundua yuko na experience 3 times ya kwangu 😁

Nikasema hapa ni pamoto, Uzuri mimi hua siogopagi watu/Scenario zozote nikatune mindset kua hapa bikifika kur ndani ni kuwapiga lecture tu na kusocialize na majamaa hata wasipo nipa kazi basi wawe wananikumbuka tu.

Majibu yalitoka, ile nafasi alipata jamaa, mimi nikatafutiwa nafasi nyingine kulingana na CV yangu 😁
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sitasahau nilifanya interview duce walah nilivotoka nilisema sitoboi mambo yalikuwa mazito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…