Ulishawahi ingia lodge ukakutana na mke wa mtu naye katoka kuliwa?

Ulishawahi ingia lodge ukakutana na mke wa mtu naye katoka kuliwa?

Imenitokea mara tatu hivi kukutana na wake za watu ana kwa kwa ana katika lodge mmojawapo naheshimiana sana na familia yake!Hii kitu ilinifikirisha sana hasa ukizingatia wawili kati yao ni wacha Mungu wazuri sana!
Kikubwa usitambe kwa watu kwamba mkeo mwaminifu utakuja kuumbuka!
Sijwahi kuingia lodge


Wewe umewahi ?
 
Nilikutana na Mzee mmoja wa Kanisa akiwa na Mke wa Mtu tena naye ni Mzee wa Kanisa.Mimi hadi hamu ya kugegeda iliniishia siku hiyo.Dogo wa lodge alikula hela ya bure na hata demu niliyekuwa naye tuliagana kwa dharura.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lilikuwa nini!? Mmoja wao ulikuwa na uhusiano wa karibu sana!?
 
Watu wawe wanajiheshimu kwa kweli,kuna siku tulikuwa tunatafuta nyumba ya biashara maeneo ya buguruni,mtaani tulipopelekwa kuna nyumba ya wageni huwezi amini ile tunapita nje kuna mama mke wa mtu mwenye watoto wakubwa mtaani kwetu na kijana wa mtaani kwetu(hana hata shughuli anashindaga maskani)wanatoka mle ndani tulitazamana tu mpaka leo hamna alomuuliza mwenzake nini kilitokea pale.
 
Nilikutana na Mzee mmoja wa Kanisa akiwa na Mke wa Mtu tena naye ni Mzee wa Kanisa.Mimi hadi hamu ya kugegeda iliniishia siku hiyo.Dogo wa lodge alikula hela ya bure na hata demu niliyekuwa naye tuliagana kwa dharura.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waumini watatu wa kanisa moja wakutana lodge kwa masuala ya ngono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lilikuwa nini!? Mmoja wao ulikuwa na uhusiano wa karibu sana!?

Huyo Mama tulikuwaga tumezoeana kuna kipindi nilikuwa sihudhurii jumuiya sasa kila siku anasisitiza mwanangu uwe unashiriki Jumuiya zina kusogeza karibu na jamii na Mungu.
Tulivyokutana ilibidi kuliana jiwe tuu kama hatujuani,ila Duniani ni uwanja wa vita muuura
 
Umepita maeneo ya biashara usabahi malaya huna lengo la kununua we unataka uangalie venye business inaenda ghafla unamwona mshkaj ambae mnajuana nae yupo hapo anapita mnasalimiana kwa kifupi sana, then unasepa zako ukishangaa hivi kumbe mshkaj ananunua hii mizigo, kule mshkaj nae anashanga kinyama hivi kumbe na wewe unanunua malaya

Ngoma droo kumbe mnawaziana sawa
 
Huenda mwanamke mwaminifu ni yule mnaambatana kila wakati hata chooni mnasindikizana. Kama Eva aliyeumbwa na Mungu alimsaliti Adam sembuse mwanamke aliyezaliwa kibinadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Mother alikuwa mke wa mtu, sasa mchepuko ukamuelekeza Guest House, Kufika pale akakuta kuna room imeshabukiwa ila haijalipiwa,Yule maza alikaa kama masaa manne yule mchepuko hakutokea, ile kupigiwa na yule jamaa wa mapokezi akadai amepata udhuru hawezi kuja. Msala ukawa kwa yule maza maana alishadanganya kwa Mme na hawezi rudi siku hiyo, kingine room anailipia nani? Bei ya room ilikuwa 35k

Mimi,nilikuwa nipo na jamaa zangu tumeenda kwenye huo mkoa kwa ajiri ya mafumzo/Semina so kuna mwana akaona goli hili akamgongea mlango yule maza kama kwenda kumpa ushauri, aisee masaa yakakata mwana yuko ndani ya room tukaogopa, ile kumgongea Mwana anatoka yuko kifua wazi,kumbe anajipoza kwa yuke Mama na wameshaku-baliana jinsi ya kulipia ile room. Inabidi uwe na roho ngumu kwenye inshu kama hii maana unaweza kutolewa malinda hivi hivi.


Baharia kacheza na fursa


Wenye taaluma yao watakuambia baharia alikula kimasihara
 
Back
Top Bottom