Ulishawahi ingia lodge ukakutana na mke wa mtu naye katoka kuliwa?

Sijwahi kuingia lodge


Wewe umewahi ?
 
Tatizo lilikuwa nini!? Mmoja wao ulikuwa na uhusiano wa karibu sana!?
 
Watu wawe wanajiheshimu kwa kweli,kuna siku tulikuwa tunatafuta nyumba ya biashara maeneo ya buguruni,mtaani tulipopelekwa kuna nyumba ya wageni huwezi amini ile tunapita nje kuna mama mke wa mtu mwenye watoto wakubwa mtaani kwetu na kijana wa mtaani kwetu(hana hata shughuli anashindaga maskani)wanatoka mle ndani tulitazamana tu mpaka leo hamna alomuuliza mwenzake nini kilitokea pale.
 
Waumini watatu wa kanisa moja wakutana lodge kwa masuala ya ngono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lilikuwa nini!? Mmoja wao ulikuwa na uhusiano wa karibu sana!?

Huyo Mama tulikuwaga tumezoeana kuna kipindi nilikuwa sihudhurii jumuiya sasa kila siku anasisitiza mwanangu uwe unashiriki Jumuiya zina kusogeza karibu na jamii na Mungu.
Tulivyokutana ilibidi kuliana jiwe tuu kama hatujuani,ila Duniani ni uwanja wa vita muuura
 
Umepita maeneo ya biashara usabahi malaya huna lengo la kununua we unataka uangalie venye business inaenda ghafla unamwona mshkaj ambae mnajuana nae yupo hapo anapita mnasalimiana kwa kifupi sana, then unasepa zako ukishangaa hivi kumbe mshkaj ananunua hii mizigo, kule mshkaj nae anashanga kinyama hivi kumbe na wewe unanunua malaya

Ngoma droo kumbe mnawaziana sawa
 
Huenda mwanamke mwaminifu ni yule mnaambatana kila wakati hata chooni mnasindikizana. Kama Eva aliyeumbwa na Mungu alimsaliti Adam sembuse mwanamke aliyezaliwa kibinadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Baharia kacheza na fursa


Wenye taaluma yao watakuambia baharia alikula kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…