Mia saba
JF-Expert Member
- Mar 4, 2022
- 255
- 390
Roho za huruma huangusha wengi, japo kwa imani tunaamini tenda wema malipo yaja. Nimewahi msaidia mtu, nikabaki kupigwa majungu na niliye msaidia.
Hiko hivi ni jamaa tunayejuana naye, siku alipohitajika na wakubwa kazini sikuwa karibu yake kwa kuonyesha kujali ikabidi niwaulize watu kadhaa kea atayeweza mwona wamtaarifu anione maana hapatikani then afanikishe anachotafutiwa.
Hakunitafuta Ila mwishoni nasikia za chinichini kuwa Huwa namfatilia na kumtangazia shida zake kwa watu.
Hivyo kafanya watu wake wa karibu kuniona mbaya kwa kosa nisiloliona.
Nimejifunza Maisha ya kutojali ni bora Sana kwa afya ya akili na usalama wako.
Nimesikitika Sana😭