Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Kwahyo wengine unaweza kurudiana nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bint Binti Sayuni03Am sorry Binti Sayuni03 ,nimetafakari nimeona sikuwa sahihi kukuhukumu jana,niwie Radhi sana
kindly accept my Apology
Siwezi kurudiana na yeyote yuleKwahyo wengine unaweza kurudiana nao
ex wangu akiolewa na amesha settle vizuri, huwa nawarudia i.e inakuwa ni collabo yangu na husbandKatika pita pita zangu nilibahatika kuwa na huyo kijana wa kisukuma kwa jina namuhifadhi, huyu kijana aliniambia yeye amesoma chuo lakini alikosa ajira kaamua kuwa dereva boda boda, mara nyingi alikuwa anafanyia online hizi uber na bolt.
Basi huyu kijana alikuwa na wivu sana nilikuwaga naenda kwake then jioni naondoka sasa nikiondoka hizo simu zitapigwa mno nikiwa njiani, hadi sasa nikaanza kumchukiaga.
Kuna siku moja nakumbuka tulipishana kitu akawa amenunua mboga kaniambia nipike mimi nikagoma nataka kuondoka eeeh! Si akanifungia mlango, nilijua utani aisee, nikawa nimekaa tukajibishana hapo akaniambia najua yeye ni nani au namchukulia poa tu anaweza akaniua na mtu yoyote asijue, kama nabisha niwaulize majirani.
Akawa amepika amekula, mimi niligoma kula, usiku tukawa tumelala si nikawa nareplay vimeseji natumiwa na watu huko online akataka kunipokonya simu nikamg'ata alooo nilipigwa bao moja zito sana hadi jicho lilivimba. Akauchukua mkono akaunyonga kwa nyuma aloooh! Nilihisi kufa hii siku na nilijuta kuzaliwa, alivyo mshenzi sasa nilikuwaga sijampa kama wiki1 hivi nilimwambia tusubiri siku hatari zipite, hii siku alitumia kama fursa akanibaka bila ridhaa yangu.
Nilimchukia mno, kulivyopambazuka nikaenda home, nilikuwa na funguo za hapo kwake kuna siku hakuwepo nikaenda nikachukuaga nguo zangu nikamwambia atafute mwengine atakaevumilia vipigo kama vile. Alilia mno meseji kama zote alinisumbua sana hata mwaka jana nakumbuka alinitafutaga, ila kamwe siwezi kurudi nyuma kwa huyu mtu hata iweje.
Sitaki kusema kuwa wasukuma wote wana tabia ya kupiga ila binafsi mwanaume kisukuma siwezi kuwa nae nawaogopa mno.
Ex, yupi huwezi kurudi kwake na kwanini??
Eeeh ng’oja ni enjoy maana kila mtu atachanganyikiwa wakati wake ukifika 😂😂😂Kakupokea kijiti 😹😹
Siwataki tenaSiyo wote siku hizi wameelimika unaweza ukampata asiyepiga muombe Mungu
Mbona wachache kwa maisha ya sasa....at least 18 au 25 hivi ndo mzigo utapata pa kuhifadhiwaMpaka saivi tumeshajua ulitembea na wanaume 8 na bado unazidi kutoa mikeka kila siku
🤣 🤣 🤣 🤣😁😁😁uko sahihi mkuu, nimefanya mno ila huku ni huwa hakuchakai