Ulishawahi kudate na mtu ambaye hata iweje hutamani kurudiana naye?

Sweetie Anastasia21 Best yako kumbe limemkuta jambo huku... Ila wanaume suala la kupiga wanawake sijui inakua ni nini. We know kuna moments zina kera sana ila hapo ndio tunatakiwa kuonesha uanaume wetu. I wonder inakuwaje binti una ruhusu mazingira ya kupigwa na mtu ambae hata kwenu hajulikani, ukijifia geto kwake anakimbia nchi. Mjitahidi msiwe cheap sana in the name of love.

Wenetu wa boda boda mshaharibu huku imani itapungua now mtapewa hela zenu za nauli hawataki tena free ride.
 
😁😁😁sema hiyo kitambo now days, hakuna ataenifanyia kitu jkama hiko
 
Katika pita pita zangu nilibahatika kuwa na huyo kijana wa kisukuma kwa jina namuhifadhi, huyu kijana aliniambia yeye amesoma chuo lakini alikosa ajira kaamua kuwa dereva boda boda, mara nyingi alikuwa anafanyia online hizi uber na bolt.

Basi huyu kijana alikuwa na wivu sana nilikuwaga naenda kwake then jioni naondoka sasa nikiondoka hizo simu zitapigwa mno nikiwa njiani, hadi sasa nikaanza kumchukiaga.

Kuna siku moja nakumbuka tulipishana kitu akawa amenunua mboga kaniambia nipike mimi nikagoma nataka kuondoka eeeh! Si akanifungia mlango, nilijua utani aisee, nikawa nimekaa tukajibishana hapo akaniambia najua yeye ni nani au namchukulia poa tu anaweza akaniua na mtu yoyote asijue, kama nabisha niwaulize majirani.

Akawa amepika amekula, mimi niligoma kula, usiku tukawa tumelala si nikawa nareplay vimeseji natumiwa na watu huko online akataka kunipokonya simu nikamg'ata alooo nilipigwa bao moja zito sana hadi jicho lilivimba. Akauchukua mkono akaunyonga kwa nyuma aloooh! Nilihisi kufa hii siku na nilijuta kuzaliwa, alivyo mshenzi sasa nilikuwaga sijampa kama wiki1 hivi nilimwambia tusubiri siku hatari zipite, hii siku alitumia kama fursa akanibaka bila ridhaa yangu.

Nilimchukia mno, kulivyopambazuka nikaenda home, nilikuwa na funguo za hapo kwake kuna siku hakuwepo nikaenda nikachukuaga nguo zangu nikamwambia atafute mwengine atakaevumilia vipigo kama vile. Alilia mno meseji kama zote alinisumbua sana hata mwaka jana nakumbuka alinitafutaga, ila kamwe siwezi kurudi nyuma kwa huyu mtu hata iweje.

Sitaki kusema kuwa wasukuma wote wana tabia ya kupiga ila binafsi mwanaume kisukuma siwezi kuwa nae nawaogopa mno.

Ex, yupi huwezi kurudi kwake na kwanini??
Duuh this is sad, pole babes.
Binafsi sina Ex ambaye niliachana naye kwa vita, yeyote yule nikimyanyulia simu tu, anakuja na mbio za farasi 😂 😂 😆.
 
Kofi moja tu na kunyongwa mkono, eti unasusa kabila lote, nenda kwa wakurya wakakukate shingo uje utuelezee vzuri. [emoji1732][emoji1732]

Mwanamme hapigi ovyo , ukiona umepigwa jua una dosari sehemu.
 
Kupigana ni ushamba kama mtu unaona hamuwezani ni heri kila mtu afate hamsini zake
 
Hizo hamsini tutazifata mara ngapi na hali kuna mambo mengine yana nyosheka kwa kipigo tu. Mwanamke ni kama mtoto , wakati mwingine maneno matupu hayamuiingii , lazima ukifinye kidogo, alaaaa
 
Mimi ukinipiga hapo ndiyo tumemalizana aisee siwezi kuwa na mahusiano na John Cena
 
Sweetie Anastasia21 Best yako kumbe limemkuta jambo huku... Ila wanaume suala la kupiga wanawake sijui inakua ni nini. We know kuna moments zina kera sana ila hapo ndio tunatakiwa kuonesha uanaume wetu. I wonder inakuwaje binti una ruhusu mazingira ya kupigwa na mtu ambae hata kwenu hajulikani, ukijifia geto kwake anakimbia nchi. Mjitahidi msiwe cheap sana in the name of love.

Wenetu wa boda boda mshaharibu huku imani itapungua now mtapewa hela zenu za nauli hawataki tena free ride.
Nashukuru sweetie haupo ivyo😍
 
Back
Top Bottom