Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
- Thread starter
- #101
Dish gani mkuu?Hili dish ukiliokota shauri yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dish gani mkuu?Hili dish ukiliokota shauri yako
Ko ulibakwa??😁Akauchukua mkono akaunyonga kwa nyuma aloooh! Nilihisi kufa hii siku na nilijuta kuzaliwa, alivyo mshenzi sasa nilikuwaga sijampa kama wiki1 hivi nilimwambia tusubiri siku hatari zipite, hii siku alitumia kama fursa akanibaka bila ridhaa yangu.
Mjinga wewe uoni kama ulimchikoza mwnywKatika pita pita zangu nilibahatika kuwa na huyo kijana wa kisukuma kwa jina namuhifadhi, huyu kijana aliniambia yeye amesoma chuo lakini alikosa ajira kaamua kuwa dereva boda boda, mara nyingi alikuwa anafanyia online hizi uber na bolt.
Basi huyu kijana alikuwa na wivu sana nilikuwaga naenda kwake then jioni naondoka sasa nikiondoka hizo simu zitapigwa mno nikiwa njiani, hadi sasa nikaanza kumchukiaga.
Kuna siku moja nakumbuka tulipishana kitu akawa amenunua mboga kaniambia nipike mimi nikagoma nataka kuondoka eeeh! Si akanifungia mlango, nilijua utani aisee, nikawa nimekaa tukajibishana hapo akaniambia najua yeye ni nani au namchukulia poa tu anaweza akaniua na mtu yoyote asijue, kama nabisha niwaulize majirani.
Akawa amepika amekula, mimi niligoma kula, usiku tukawa tumelala si nikawa nareplay vimeseji natumiwa na watu huko online akataka kunipokonya simu nikamg'ata alooo nilipigwa bao moja zito sana hadi jicho lilivimba. Akauchukua mkono akaunyonga kwa nyuma aloooh! Nilihisi kufa hii siku na nilijuta kuzaliwa, alivyo mshenzi sasa nilikuwaga sijampa kama wiki1 hivi nilimwambia tusubiri siku hatari zipite, hii siku alitumia kama fursa akanibaka bila ridhaa yangu.
Nilimchukia mno, kulivyopambazuka nikaenda home, nilikuwa na funguo za hapo kwake kuna siku hakuwepo nikaenda nikachukuaga nguo zangu nikamwambia atafute mwengine atakaevumilia vipigo kama vile. Alilia mno meseji kama zote alinisumbua sana hata mwaka jana nakumbuka alinitafutaga, ila kamwe siwezi kurudi nyuma kwa huyu mtu hata iweje.
Sitaki kusema kuwa wasukuma wote wana tabia ya kupiga ila binafsi mwanaume kisukuma siwezi kuwa nae nawaogopa mno.
Ex, yupi huwezi kurudi kwake na kwanini??
Ndiyo nilibakwa😭😭Ko ulibakwa??😁
Kwahiyo jukumu la kumpikia boyfriend ni la kwangu??Mjinga wewe uoni kama ulimchikoza mwnyw
Mh! Huyu hapana anaweza kukuua au kukupa ukilema akiwa na hasira🙌Wanawake wengi wanafaa kuwa na mwanaume kama huyo msukuma
ulizingua ndio maana hatuwaoi ukiwa na boyfriend hadi anakuita kwake mnalala wote timiza majukumu kama mke na yeye ukitoka aone gape lako sasa papuchi unatoa vizuri tu eti kupika hutaki unaona ni kitu kikubwa Sana utamfanyia kuliko kukuchapa machine! hata mm yupo mmoja ninae simuoi ng'odo na nikitaka kuoa namuoa rafiki yake mmoja ivi ananidhamu sana kuliko yeyeKwahiyo jukumu la kumpikia boyfriend ni la kwangu??
Kila siku nilikuwa napika lakini hiyo siku sikujisikia tuulizingua ndio maana hatuwaoi ukiwa na boyfriend hadi anakuita kwake mnalala wote timiza majukumu kama mke na yeye ukitoka aone gape lako sasa papuchi unatoa vizuri tu eti kupika hutaki unaona ni kitu kikubwa Sana utamfanyia kuliko kukuchapa machine! hata mm yupo mmoja ninae simuoi ng'odo na nikitaka kuoa namuoa rafiki yake mmoja ivi ananidhamu sana kuliko yeye
Nilitaka kukuagizia Pepsi, ila nimekumbuka tupo kwenye mwezi wa mafungo!Ukiachana na mtu ni mwiko kumkumbuka wala haitakiwi ujue Yuko wapi na anafanya nini msahau endelea na maisha yako
Muagizie muda wa kufunguliaNilitaka kukuagizia Pepsi, ila nimekumbuka tupo kwenye mwezi wa mafungo!
Click sana
Anikumbushe Sasa!Muagizie muda wa kufungulia
Nitamkumbusha akukumbusheAnikumbushe Sasa!
Una sautii nzuriii jamaniiiiii ... Ama kweli wewe ni Binti sayuniiiiNitamkumbusha akukumbushe
Sauti nzuri umeisikia wapi😁😁😁Una sautii nzuriii jamaniiiiii ... Ama kweli wewe ni Binti sayuniiii
InatafakarishaKunipiga kunila bila hiari yangu
Nimesikia ndani ya Maandishi yakoSauti nzuri umeisikia wapi😁😁😁
Sana mkuuInatafakarisha
Masikio yako yanakudanganya, sauti yangu kama ya Jaiva😁😁Nimesikia ndani ya Maandishi yako
Na katika ulimwengu wa roho
Jaiva ndo nani?Masikio yako yanakudanganya, sauti yangu kama ya Jaiva😁😁