Ulishawahi kufanyia mapenzi kwenye gari?

Dada alikuwa rafiki, nime amini hakuna urafiki kati ya simba na swala
 
Naona kila mtu analalia upande wake

Eeeh ngoja na mimi nikaanzishe wetu wa

"ALIYEWAHI KUFANYA MAPENZI KWA MGUU TUPEANE UZOEFU"
 
Mkuu una experience sana [emoji119][emoji119]
Na starehe unapata kabisa na unakuwa na huru.

Kuna sehem tatu nne nazijua maeneo ya Sinza na Kinondon.
Na zinafahamika kabisa kwa ajili ya parking za namna hii.

Unampa mchongo Mlinzi akuangalizie Ishu.
(Anakulinda huku ww unamaliza kaz ndan ya gari)

Ukimaliza unamtoa na buku 2 au buku yake .nyie mnasepa zenu.

Ujana bana, aaagh!!!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha

Mapenzi ya kwenye gari matamu sana......!!! Mwenzangu anasemaga hadi miguu inakufa ganzi. Inabidi abaki kwa muda, kisha aondoe gari.
Wazoefu wakuliwamo[emoji38]
 

Noma sana, maisha ya ujana haya[emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…