😂😂 hizo nilimuachia ukumbusho ila Calcuu hapana😂Halafu usikute ulimuachia Pichu..😂
Alitaka kunitapeli calculator yangu tulivoachana ,ila nilimpokonya nikaichukua.
Mwogope muumba...si tumeshuhudia haa hapa jukwaanSijawahi, poleni sana...
Na hilo kosa la kumuachia pichu ndo linakugarimu mpaka Sasa!😂😂 hizo nilimuachia ukumbusho ila Calcuu hapana😂
Ameniambia yeye ni mwanafunzi wa chuo anasomea DIPLOMASIA chuo chao kipo uhamiaji
Mchunguze vizuri kama hajawai kujamba mbele yako basi ujue kuna utapeli mkubwa anakufanyia deileSikumbuk Kama Kuna aliyewah kunitapeli....MAMA WATOTO NILIYENAE HAJAWAHI NA HATAWAHI...
Anajisahaulisha 🤣Mwogope muumba...si tumeshuhudia haa hapa jukwaan
HahahahahahahNilikutana nae alinambia tayari anakijusi cha mwezi 1 na ana migogoro nae, ukaribu ukaribu nikapewa nikaweka.
Kwa huruma nikawa namsaidia saidia kumbe akili yake anifanye Mzee Abdul, nikaamka nikamwambia msaada wangu umeisha pataneni na mwenzio sitak kukulemaza ukaachana nae kabisa....
Akaenda kwao huko akarudi na kuniambia mimi ndio mwenye mtoto kuwa ile mwanzo alikuwa anajidhania kashika mimba kumbe ilikuwa hajashika kwa yule jamaa ila imeshika alivyonipa mimi, nikamwambia tu file kesi tukapime DNA akawa hataki.....
Yes hiyo hiyo we called it mathematical calculator. Siyo hizo za kawaida.Ile fx991 au?
HahahahahaMchunguze vizuri kama hajawai kujamba mbele yako basi ujue kuna utapeli mkubwa anakufanyia deile
Hivi nyie Nani kawaambia kujambiana ndio mapenzi?Mchunguze vizuri kama hajawai kujamba mbele yako basi ujue kuna utapeli mkubwa anakufanyia deile
Daa mkuu na wewe pia umo! !!! ahahahahahh!Umenikumbusha elf 20 yangu na k vant ndogo....😭😭 Nyau kabisaaa tena paka jeusi
Yaani kabisaaa mie namlalia juu! wkt navuta hewa safi!! anitapeli weeee!! thubutuuu!! sisi tuna akili ya Mungu alitupilizia pumzi direct kotoka kinywani kwake!! hata wawe matapeli vipi hawatuwezi kwa utapeli!Kila mmoja kwa namna moja ama nyingine ametapeliwa kwenye mapenzi:-
Hayo yote tunaita ni utapeli wa mapenzi.
- Kuna aliyelazimisha kuzaa na mtu akitegemea apate ndoa, mambo yakawa tofauti
- Kuna aliyetuma nauli akitegemea mwenzake afike, mambo yakawa tofauti
- Kuna aliyesomesha akitegemea waje waoane waishi pamoja, mambo yakawa tofauti
- Kuna waliotoana kijijini na kuja mjini wakitegemea waishi vizuri, mambo yakawa tofauti
- Kuna aliyeshindia mihogo huku akimpendezesha mpenzi wake akitegemea waje waishi pamoja, mambo yakawa tofauti
- Kuna waliojinyima kufanya maendeleo yao binafsi kama kujenga, kufungua biashara n.k na badala yake kuwekeza kwa mpenzi wake akitegemea kuna ndoa, mambo yakawa tofauti
- Kuna aliyejituma kutoa shoo za kibabe akitegemea mwenzake atatulia, mambo yakawa tofauti n.k
Kuanzia January 2021 mpaka leo hii December 2021, umefanyiwa utapeli gani na mpenzi wako?
Cc mahondawSijawahi, poleni sana...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwogope muumba...si tumeshuhudia haa hapa jukwaan
Kichwa hakikubonyea kwel?[emoji23][emoji23][emoji23]Alinisisitiza ananipenda nisibadilike then akanipiga na kitu kizito kichwa
Sio mbayaNilimwahidi kumnunulia range Rover evoque ila nimeishia kumnunulia ka passo!