Ulishawahi kufanyiwa utapeli gani na mpenzi wako?

Ulishawahi kufanyiwa utapeli gani na mpenzi wako?

Nilikutana nae alinambia tayari anakijusi cha mwezi 1 na ana migogoro nae, ukaribu ukaribu nikapewa nikaweka.

Kwa huruma nikawa namsaidia saidia kumbe akili yake anifanye Mzee Abdul, nikaamka nikamwambia msaada wangu umeisha pataneni na mwenzio sitak kukulemaza ukaachana nae kabisa....

Akaenda kwao huko akarudi na kuniambia mimi ndio mwenye mtoto kuwa ile mwanzo alikuwa anajidhania kashika mimba kumbe ilikuwa hajashika kwa yule jamaa ila imeshika alivyonipa mimi, nikamwambia tu file kesi tukapime DNA akawa hataki.....
Fala sana huyo sasa imeishiaje mkuu
 
Back
Top Bottom