Ulishawahi kufikwa na aibu usiyoweza kusahau, ilikuaje?

Mkuu acha kabisa, tupe uzoefu wako na hawa mabinamu wa PK
Nimewala baadhi enzi niko UDBS pale chini sio wakavu utapiga mpaka uchoke utelezi kama wote, uzuri wa sura na umbo hawajambo. Shida yao wanapenda maisha classic sana ndio maana wanakuwa na vitabia vya umalaya umalaya
 
Mimi nililewa kwenye sherehe. Nilikula koka na konyagi ilikuwa aibu kubwasana. Halafu mfukoni sikuwa na pesa kabisa. Na sikwenda na ndugu. Ila kuna mtu alinilipia boda boda akanipeleka baada ya kunihoji wapi naishi. Ishukuriwe niliweza kuongea.
Aise kua makini wakati mwingine, pia hongera kwa kua na uwezo wa kuwasiliana, ungekua hauna uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha siku hiyo hakika ungepata aibu kubwa.
 
hilo la vitabia vya umalaya ni kweli kabisa na umalaya wao sio wa chips kuku ni umalaya wa dau refu
 
Aise kua makini wakati mwingine, pia hongera kwa kua na uwezo wa kuwasiliana, ungekua hauna uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha siku hiyo hakika ungepata aibu kubwa.

Wee acha tu kaka. Pombe sio chai. Ni hatari sana. Kama nisingekuwa mahali penye watu wema baya lingeweza kutokea.
 
Nimezama toilet Moja nikiwa safari , kumbe aliyetangulia katumia afu hakuflash , nafikiri alitumia bila kukagua maji, anamaliza maji yamekata, Akaamua kutoka,,,mi huyo nakuta Ile Hali kwenye sink ,nikaamua nistumie mana nna kinyaa, natoka nakutana na mdada mzuri anaingia dizain kabanwa, daaaa ,moyo wangu ulishuka sanasana......niliondoka Hilo eneo haraka,nakumbuka nilivoingia kwenye basi nilibadiri t-shirt nilokuwa nmevaa afu nikawa sirious
 
Tehe he hee
 
Mimi nililewa kwenye sherehe. Nilikula koka na konyagi ilikuwa aibu kubwasana. Halafu mfukoni sikuwa na pesa kabisa. Na sikwenda na ndugu. Ila kuna mtu alinilipia boda boda akanipeleka baada ya kunihoji wapi naishi. Ishukuriwe niliweza kuongea.
Ulivyojikagua upo back side usalama ulikuwepo?.
 
PK tall hana mchezo.
PaKa.jpg
 
Nimezama toilet Moja nikiwa safari , kumbe aliyetangulia katumia afu hakuflash , nafikiri alitumia bila kukagua maji, anamaliza maji yamekata, Akaamua kutoka,,,mi huyo nakuta Ile Hali kwenye sink ,nikaamua nistumie mana nna kinyaa, natoka nakutana na mdada mzuri anaingia dizain kabanwa, daaaa ,moyo wangu ulishuka sanasana......niliondoka Hilo eneo haraka,nakumbuka nilivoingia kwenye basi nilibadiri t-shirt nilokuwa nmevaa afu nikawa sirious
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji1787]
 
Niliteleza mbele ya madem chuo wakawa wanasema "kaka pole" mmoja akawa ananikusanyia vitu vyangu alikuja kua dem wangu......ilikua aibu kiaina
 
Back
Top Bottom