Ulishawahi kugombana na mwenza wako kwasababu ya hizi Dawa?

Ulishawahi kugombana na mwenza wako kwasababu ya hizi Dawa?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Leo Mjanja M1 nimetafakari sana kuhusu mfanano wa hivi vipakiti vya dawa ya Mbu na Ndom.

Je ushawahi kupata msala wowote kwasababu ya hivi vipaketi?

20240530_154155.jpg
 
Hahahah Nimeomba ufafanuzi kwa niaba ya tusio jua msitufanyie hivyo

😅😅Tenaa? Half kwahiyo Ushmen kadanganya

Maana nimeamini alichosema
Kwani kusoma hujui au macho hayaoni kwa umri ulionao? 😂
Hiyo ni sumu ya mbu
 
Back
Top Bottom