Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Yule dada alikua ni mzuri acheni, amekula sana pesa zangu mwisho tulipoteana na sikuambulia hata busu.Afu alikua anajichukulia matawi sana.
Juzi hapa nimekutana nae, aisee kachoka "kumbe watu wanachoka sana"
Vyote alivyokula ki ukweli nimemsamehe. Mana hata sion cha kujilipa zaidi ya kuchukua mikosi.