Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
[emoji28][emoji28]Yule dada alikua ni mzuri acheni, amekula sana pesa zangu mwisho tulipoteana na sikuambulia hata busu.Afu alikua anajichukulia matawi sana.
Juzi hapa nimekutana nae, aisee kachoka "kumbe watu wanachoka sana"
Vyote alivyokula ki ukweli nimemsamehe. Mana hata sion cha kujilipa zaidi ya kuchukua mikosi.
dadekiDaa mkuu hiyo ni ndogo kuna watu wanahonga mpaka million halafu wanaambulia patupu ,halafu staili ya mademu wa aina hii ukishawatongoza kabla hajatoa jibu utasika ,naomba nikopeshe hela nitakuludishia ,ukimpa tu papachu huli na pesa hulipwi.
Itakuwa alikuwa muhayaa.. Nilipata manzi ya kihayaa inapenda matunzo ***** ila mchongo haitaki toa aisee mbona nikaimwaga fasta tuu japo kaumbika ila ufala huo sinagaaa...Yule dada alikua ni mzuri acheni, amekula sana pesa zangu mwisho tulipoteana na sikuambulia hata busu.Afu alikua anajichukulia matawi sana.
Juzi hapa nimekutana nae, aisee kachoka "kumbe watu wanachoka sana"
Vyote alivyokula ki ukweli nimemsamehe. Mana hata sion cha kujilipa zaidi ya kuchukua mikosi.
Ila ulikuta break puhmhmbu sio? [emoji16][emoji16]MREJESHO
[emoji1][emoji1] Deal done, huyu binti nmemla Jana,
Kilichotokea ni kuwa toka mwanzoni mwa mwaka huu baada ya kufuma text ikabidi nmpotezee tu, basi mwezi wa tano ule akawa ananitext mm najibu short tu, akakata tamaa, akawa tena anakaa ananitext mara ananzingua nimtumie hela namjibu tu short"sina pesa" hakuwah ilamb a hela yangu toka January!
Wiki iliyopita akantafuta nikamwambia twende sehemu, tukaenda kipub cha kizushi tukaanza kupiga vyombo[emoji16][emoji16], kama kawaida ake akaanz ooh nihonge 15k,nikamuambia hapa kunywa utakunywa hata ukitaka kubeba ila sh. Kumi yangu hutopata[emoji16][emoji16], tukamaliza akarudi kwao.
Jana nipo zangu kwangu naona text yake "upo kwako nataka nije niandalie bia zangu" Saa moja huyu hapa "[emoji4][emoji4]kavaa kidude mipaja yote nje!!
Piga gambe piga gambe saa nne mwenyew kavua nguo kapata kitandani kanambia njoo uchukue baba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Basi nkajilia vyangu mie,
[emoji1][emoji1]Mnato mzee baba, nachojilaumu sikua na zana za wa Congo yani nngechakaza kweli kweli!! Sema nn na jana kaileta imechakazwa, yani kila nikiichakaza nawaza hela zangu alizokula huyu kunguniIla ulikuta break puhmhmbu sio? [emoji16][emoji16]
Ungempakia mkongo akasimulie [emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1]Mnato mzee baba, nachojilaumu sikua na zana za wa Congo yani nngechakaza kweli kweli!! Sema nn na jana kaileta imechakazwa, yani kila nikiichakaza nawaza hela zangu alizokula huyu kunguni
Hakua muhaya, sema kwa urembo wake nahisi ametumika sana hadi amesahau kujitunza .Itakuwa alikuwa muhayaa.. Nilipata manzi ya kihayaa inapenda matunzo ***** ila mchongo haitaki toa aisee mbona nikaimwaga fasta tuu japo kaumbika ila ufala huo sinagaaa...
😂😂😂😂😂Nilikuwa na dem mmoja mume wake alikuwa masomoni siku nimemuhonga tu laki 2, mume wake anarudi , na baada ya wiki wakahamia mkoa mwingine. Iliniuma sana. Arafa rudisha ela zangu mbwa wewe
Ukiona mtu anahonga halafu hana habari na gemu ujue ana kisukari na mashine haisimamiSema mnaolia lia hapa njaa tupu watu wanatoa million hata kuomba game haombi[emoji23]
Anabembeleza mrudiane? Mbona simple mwambie alete mzigo nje ya hapo aishie hukoManzi mmoja nilikutana nae manyara huko
To make the long story short
Nilimpenda Sana
Nilimnunulia sim awamu tatu mara ya kwanza nilimpa Tecno W3 yangu time ndio zimetoka akaharibu nikampa Samsung J1 yangu akaharibu nikampa iPhone 6 full boxed na zawadi kedekede mbali na hayo kuna hizi 25k 30k 40k mwisho wa siku sikula papuchi
Manzi badae nikagundua ana wasela kama wote hivi halafu akawa ananifanyia nyodo za kifala
Mengine sitaandika hapa code itafunguka itoshe kusema ilikua ngumu kumuacha alinigeuza kitega uchumi ilifik time nikachoka tu nikapata na mtu mwingine na yeye akamjua kupitia status mpaka leo anabembeleza nirudiane nae na sina time na mahusiano naye Ila shida yangu ni papuchi na yeye bado anabana
Ila ipo siku nitabandua hofu yangu ni kwamba naweza jirudisha nikapigwa hela na papuchi nisipate
Nilipigwa 36,000 Tsh na mwisho wa siku hata busu sijapiga, mbaya zaidi mtaani walizusha nimekula ila ukweli naujua mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukamsusia geto zimaDah...
Kuna mchumba mmoja mkali nlipata mitaa ya Kusini pale Masasi nikiwa kikazi bhanaa.
Yule mtoto alikuwa ananipa show hatariii.
Nlimuita zuchu Age 19 hivi.
Dah...Mamserenger nikapata mchongo wa ela ndef bila kutegemea
Nlienda Town nika nunua Geto zima ika nikost kama M 5 kasoro lengo nijilie mbunye huku napikiwa fresh na kulala pazuri dah...
Siku ya pili tuu nikapata uhamisho kwenda Mwanzaaaaa[emoji24][emoji24][emoji24].
Dah asaivi nimebaki nakula na vdeo call tuu za wasap na lala zanguuuu[emoji17][emoji17][emoji17]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
na polisi juuMkuu una ujasili kwenda kudai vitu kwa demu ambacho ulishampa mimi nilishindwa kabisa nikapotezea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na polisi juu
[emoji16]Yule dada alikua ni mzuri acheni, amekula sana pesa zangu mwisho tulipoteana na sikuambulia hata busu.Afu alikua anajichukulia matawi sana.
Juzi hapa nimekutana nae, aisee kachoka "kumbe watu wanachoka sana"
Vyote alivyokula ki ukweli nimemsamehe. Mana hata sion cha kujilipa zaidi ya kuchukua mikosi.
[emoji23]Mm kunae litakataka la huk huo kijiji linae mavi ya kufa mtu nkalipanga tumeet sehemu after beer mbili 3 tukabanduane
Mm nkawah eneo la tukio nkaaguza k can't ndogo ndani ya dk 20 huyu apa akanikuta bado nipo nacho kale ka k vant
Nkamuuliza unakunywa nn nae akasema k vant nkamuambia kama vp tuagize kubwa tuile wote
Aiseee pale alimeza k vant kubwa moja na kadogo + kitmoto kilo moja na akakimbia niliishia kuliwa denda tu
Nilipoteza kama 56k daa iliniuma mbaya asubh nkaenda kukopa supu ya utumbo kwa mama dulla kupooza maini