Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

Yani mi mwenyewe nikikumbuka mwili wote unapata ganzi
Kuna dem alijifanya matawi kala vyangu mwisho kaigia kwenye 1na 2 tuko Lodge kasasambua kila kitu mara anajifanya mzuzi wa mambo huku nakule mwisho nakadeshi kama nataka kuzamisha akachia nikainuka nakuvaa.Nikwambia yaan nyodo zote kumbe unatoa harufu hiv? Ilimradi tu tu share maumivu,Then nikasepa
 
Tehe tehe tehe we jamaa wew [emoji23]
 
Daaa!.
 
Huu ushenzi wa kula vya watu kuna manzi alifanyiwa ushenzi na jamaa, aliingia ghetto baada ya kusumbua sana akaishia kuvuliwa kisha jamaa akatemea mate na kumwagia mchanga aliyokuwa kauweka mfukoni. Manzi hadi alilia.

Toka siku hiyo yule jamaa aliishia kumwendesha kichwa chake, anaweza kumpeleka gesti na akamla bila kutoa mia demu akaishia kulipa yeye kila kitu.

Hao viumbe ukijifanya muungwana sana wanakupanda kichwani
 
[emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Lucy mshenzi sana alikula 50,000 yangu na outing za kutosha, akaishia kunipiga block. Alinipa fundisho hakuna kuonea huruma mwanamke.
Nilimkuta anaumwa na hana hela ya kujitibu. Nikampeleka hospitali kupima na dawa ikaenda 30k. Baada ya kupona nikaona sasa ni zamu ya kulipa ile hela. Kama kawaida ukiwa na hela hatutongozi, nikamtia kwenye gari tutafute faragha tupige stori. Breki ya kwanza lodge. Akagoma kushuka, akaniambia hayupo vizuri kama ninataka basi kesho atakuja mwenyewe hapo nijiandae tu.

Kubabeki kumbe ninaliwa tyming kesho anasafiri. Jioni napigiwa simu alipata dharura nimtumie nauli arudi kwa ajili ya jambo letu tu yaani kwa ajili yangu. Nikatuma 20k kesho atarudi.

Kesho piga simu sana hola. Baadae nikala block kila nikipiga simu bize. Nikamtumia voice note kumdharau na kumuita tapeli na kujifanya hajanikomoa.
 
Mwamba kunywa beer kwa bill yangu ,ww twafanana kabisa
Unajua ndio maana unakuta kuna baadhi ya wanaume hukosa hali ya uvumilivu ndio mana wanafanya matukio ya ajabu haiwezekani pesa anakubali kuchukua alafu anakubania.
 
Kuna falaaa alinilaa sana hela kipindi flani amerudi tenaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa anadhani nimesahau.. yani nikimvuaaa chap hanisikiii tenaa
Huyo kashaona umuhimu wako ila maji yakishamwagika hayazoleki tena mwache ateseke mpuuz huyo
 
Solemba solemba solembaaa aaaa [emoji445]
 
Imaumaje hiyo daah!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Yeye si alitaka kunipotezea nimelipia wali wangu na samaki alafu nampa show kashindwa kupiga show ya kueleweka, kabeba Pumbu za bure tu!
Mwanaume akipanic hata kama alikuwa na uwezo wa kupiga show ya mizunguko minne. Lazima aishie moja na la haraka na ashindwe kuendelea. Inaonekana jamaa hakutarajia hilo akapanic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…