Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

Mzee uliingia na gia ya uGENTLEMAN
 
Daah mkuu usinikumbushe Vanessa elf 30 yangu ilienda kizembe tu ila ni vile hakujua namna namfeel angenipiga hela nyingi sana yule ila akaamua kunichunia mwenyewe akijua elf 30 ndio kapiga mshindo hahahahaaa
 
mimi kuna mmoja nilimuulewa sana, nikawa nataka niende kujitambulisha kwao maana alinambia hana mtu, basi nikaona nisiharakishe kuomba mzigo, nikamnunulia ki smart phone baadae nakuja pata taarifa kumbe ana jamaa mwengine ambae kashajitambulisha kwao, harafu nimemnunulia simu kama siku mbili zilizopita,nikamfuata kiustaarabu anipe simu yangu aendelee na jamaa yake, heeh demu kanigeuzia kibao eti sijawahi kumpa simu na wala hanijui mbele ya mama yake mdogo, bahati nzuri kuna madogo zake wananielewa sana wakanitonya kuwa simu anayo kaificha chini ya godoro, hapo jirani kuna jamaa yangu ni askari polisi nikamchek nikamuelezea story nzima, akanambia hiyo kazi ndogo, alimbana demu kuwa huo ni utapeli kama na kama akiingia ndani kui tafuta na akiipata basi atamtia pingu, demu mwenye akazama ndani akaitoa,
 
Huyu ulimkomesha Aiseee
 
Nishawai tumia 300k+ na sikupata ata busu tu... kuwa mwanaume ni kazi pia
Hii ni Janga la wanaume wote...kuna kidemu nlikua nakisalandia kilikua kikazi Arusha kikaaambiwa kikitoka kipitie Tanga ndo kirudi Dar kikanipigia kinalalamika hakina ht hela ya hotel na its weekend...nikajitumua nikakitumia hela ya siku 2 km 200k kwa makubaliano kikitoka huko kitakuja straight magetoni....sijawahi ht ona sura ya papuchi yake, now kinanipa swaga za kina mtu wake...
Ila now nishakua mjanja....natoa ahadi then nazima cm au namlima block.
 
Nilikuwa na dem mmoja mume wake alikuwa masomoni siku nimemuhonga tu laki 2, mume wake anarudi , na baada ya wiki wakahamia mkoa mwingine. Iliniuma sana. Arafa rudisha ela zangu mbwa wewe
***** hapa mungu alimsubiria shetani njia panda afu akampiga bonge la mtama. Hahahaaaà na shetani akabaki anashangaa
 
Kakaaa nimechekaa sanaa hii mbinu kali sanaa ya kivita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…