Scolari
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 1,721
- 2,383
Manzi mmoja nilikutana nae manyara huko
To make the long story short
Nilimpenda Sana
Nilimnunulia sim awamu tatu mara ya kwanza nilimpa Tecno W3 yangu time ndio zimetoka akaharibu nikampa Samsung J1 yangu akaharibu nikampa iPhone 6 full boxed na zawadi kedekede mbali na hayo kuna hizi 25k 30k 40k mwisho wa siku sikula papuchi
Manzi badae nikagundua ana wasela kama wote hivi halafu akawa ananifanyia nyodo za kifala
Mengine sitaandika hapa code itafunguka itoshe kusema ilikua ngumu kumuacha alinigeuza kitega uchumi ilifik time nikachoka tu nikapata na mtu mwingine na yeye akamjua kupitia status mpaka leo anabembeleza nirudiane nae na sina time na mahusiano naye Ila shida yangu ni papuchi na yeye bado anabana
Ila ipo siku nitabandua hofu yangu ni kwamba naweza jirudisha nikapigwa hela na papuchi nisipate