mimi kuna mmoja nilimuulewa sana, nikawa nataka niende kujitambulisha kwao maana alinambia hana mtu, basi nikaona nisiharakishe kuomba mzigo, nikamnunulia ki smart phone baadae nakuja pata taarifa kumbe ana jamaa mwengine ambae kashajitambulisha kwao, harafu nimemnunulia simu kama siku mbili zilizopita,nikamfuata kiustaarabu anipe simu yangu aendelee na jamaa yake, heeh demu kanigeuzia kibao eti sijawahi kumpa simu na wala hanijui mbele ya mama yake mdogo, bahati nzuri kuna madogo zake wananielewa sana wakanitonya kuwa simu anayo kaificha chini ya godoro, hapo jirani kuna jamaa yangu ni askari polisi nikamchek nikamuelezea story nzima, akanambia hiyo kazi ndogo, alimbana demu kuwa huo ni utapeli kama na kama akiingia ndani kui tafuta na akiipata basi atamtia pingu, demu mwenye akazama ndani akaitoa,