Zipu ya wapi?Nilishawahi kuingia na simu chooni huku naongea,asa ile nimeibana hapa hivi katika bega ili nifungue zipu ikanitoka ikaingia direct chooni
Ya hapa mbele ya jeansZipu ya wapi?
Sasa ulitaka kuficha nini? [emoji15] [emoji15]Ya hapa mbele ya jeans
Dah!!!mlifanikiwa kuitoa.Nilishawahi kuingia na simu chooni huku naongea,asa ile nimeibana hapa hivi katika bega ili nifungue zipu ikanitoka ikaingia direct chooni
Yaani neno dogo tu kufungua zipu lishahamisha mawazo yanguNilishawahi kuingia na simu chooni huku naongea,asa ile nimeibana hapa hivi katika bega ili nifungue zipu ikanitoka ikaingia direct chooni
Sasa ulitaka kuficha nini? [emoji15] [emoji15]
Ulikuwa unafunga zip ili ufiche nini?Sijakuelewa ama wewe ndio hukuelewa comment yangu mzee baba?
Dah!!!mlifanikiwa kuitoa.
Ulikuwa unafunga zipu ili ufiche nini sasa.Nilikuwa room naongea na simu sasa nikapata haja ya kwenda toilet...nikafika toilet huku naongea na simu,katika harakati za kufungua zipu ndio ikanitoka ikadumbukia chooni
Sijui umenisoma
Yaani neno dogo tu kufungua zipu lishahamisha mawazo yangu
UsoUlikuwa unafunga zipu ili ufiche nini sasa.
Uso wako una zipu?
HapanaUso wako una zipu?
Gaaeeee!! Ati nini?Yeah!
Nilijua simu itakuwa imeharibika...nilitaka nipate lines zangu tu
So nikavaa mfuko zile rambo nikaingiza mkono [emoji16]
Hiyo zipi ulitaka ufunike mashavu.!Hapana
Uso wangu una uso
HapanaHiyo zipi ulitaka ufunike mashavu.!
Uso wako utakuwa mnene.Hapana
Uso