Kapumpuli
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,040
- 2,674
Na je uliendelea kuitumia tena?Yeah!
Nilijua simu itakuwa imeharibika...nilitaka nipate lines zangu tu
So nikavaa mfuko zile rambo nikaingiza mkono [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na je uliendelea kuitumia tena?Yeah!
Nilijua simu itakuwa imeharibika...nilitaka nipate lines zangu tu
So nikavaa mfuko zile rambo nikaingiza mkono [emoji16]
Itakuwa
Imekuja na machingaSasa chupi imekujaje?
Weka picha tuione
Huyo machinga ni wa kike?Imekuja na machinga
HapanaHuyo machinga ni wa kike?
Si ameweka picha ya mwanamama ila yeye ni mwanaumeWee mwongo inamaana unakojoa ukiwa umesimama wee si demu?au wewe ni dume umesahu id unayotumia huku
😂😂😂😂Wakupima wewe heeee... [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] kwenye tope kabisa unapiga mbizi
Kiruuuu..........!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vile nafikiria zipu ilivyokuwa inafunguka....
Basi kaana nayo tuone unafaidi niniSieki
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinicheke basi
Basi kaana nayo tuone unafaidi nini
Kama ulidhamiria kumtongoza
Andika umeumia
joanah next time ui set simu yako kwa kile tunakiita google drive kwa ajili ya kuweka majina na matakataka yote kule ili siku wahuni wakiibeba usihuzunike kupoteza namba just restore na maisha yanasonga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!!
HahahahahaShauri yako badala ututamanishe wee unazificha.. unajichania mkeka ujue
Hahahahaha
Nishazoea mie kuchana mikeka...jana tu tott kachana
Hebu leo niue liver nione itakuaje
Na leo unaliwa[emoji23][emoji23]