Ulishawahi kuingia msalani/chooni kujisaidia na simu yako mkononi.?

Ulishawahi kuingia msalani/chooni kujisaidia na simu yako mkononi.?

Kwa stahili hii wanaume tunaenda kuwa kuni jehanamu yaani mwanamke kuzungumzia zipu tu watu wanaanza kuimagine ilikuwaje kuwaje na story ikahama kabisa,
 
Kama ulidhamiria kumtongoza
Andika umeumia

joanah next time ui set simu yako kwa kile tunakiita google drive kwa ajili ya kuweka majina na matakataka yote kule ili siku wahuni wakiibeba usihuzunike kupoteza namba just restore na maisha yanasonga
 
Nimekuelewa sana
 
Yaaan uzi umekuwa wa kumuandama Joannah na zipu yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom