Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Hunishindi mimi...Acha tu [emoji28]
Salama,nimekumiss ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hunishindi mimi...Acha tu [emoji28]
Salama,nimekumiss ujue
Nakushinda bhana 😁Hunishindi mimi...
Nakushinda bhana [emoji16]
Kweli hunishindi, si unaona mimi ndiye nimeanza kukutafuta.
Agiza kongoro au maini.[emoji4][emoji4] Haya bhana
Agiza kongoro au maini.
Unapenda nini?Mmh!sipendi vyote hivyo ulivyonambia niagize [emoji45]
Unapenda nini?
Nikajua utasema mihogo ya kuchemsha, vitumbua, kababu.Burger,pizza,sausage
Yani sipendi michuzi michuzi,kina supu
Inanikumbusha nikiwa mdogo simu ndiyo zimetoka jamaa kanunua Philips kaingia nayo toi kaiangusha chooni na choo chenyewe ni chashimoNikazama chooni nikapiga mbizi kutafuta simu yangu
Ukiingia na simu chooni unastarehe zaidi wakati napitia pitia mambo kwenye simu huko mzigo unazidi kishuka bila wewe kuwa na taarifa baadae ndiyo unashituka heeee! Kumbe Nipo chooni unajisafisha unaondoka.