Uso wako utakuwa mnene.
Kivipi?Inawezekana
Endelea basi kilichofuataNilishawahi kuingia na simu chooni huku naongea,asa ile nimeibana hapa hivi katika bega ili nifungue zipu ikanitoka ikaingia direct chooni
KivyovyoteKivipi?
Haiwezekani!Kivyovyote
Nikazama chooni nikapiga mbizi kutafuta simu yanguEndelea basi kilichofuata
Haiwezekani!
Wasikuchoshe hebu tililika ....enheee ..... ikawaje ?Kivyovyote
Hujamuelewa alikuwa anafungua zipu ili avue chupi halafu ajisaidieUlikuwa unafunga zip ili ufiche nini?
Amekwambia anavaa chupi?Hujamuelewa alikuwa anafungua zipu ili avue chupi halafu ajisaidie
Wakupima wewe heeee... [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] kwenye tope kabisa unapiga mbiziNikazama chooni nikapiga mbizi kutafuta simu yangu
Haiwezekani.Inawezekana haiwezekani
Wee mwongo inamaana unakojoa ukiwa umesimama wee si demu?au wewe ni dume umesahu id unayotumia hukuNilishawahi kuingia na simu chooni huku naongea,asa ile nimeibana hapa hivi katika bega ili nifungue zipu ikanitoka ikaingia direct chooni
Inawezekana haiwezekaniHaiwezekani.
Huyu kasahau id yakeZipu ya wapi?
No anavaa dangaAmekwambia anavaa chupi?
Ya hapa mbele ya jeans
Sasa chupi imekujaje?No anavaa danga
Wee mwongo inamaana unakojoa ukiwa umesimama wee si demu?au wewe ni dume umesahu id unayotumia huku
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nilishawahi kuingia na simu chooni huku naongea,asa ile nimeibana hapa hivi katika bega ili nifungue zipu ikanitoka ikaingia direct chooni