Yaaan uzi umekuwa wa kumuandama Joannah na zipu yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana iliharibikaNa je uliendelea kuitumia tena?
Liver anakufa leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena correct score 3-1
Yaaan uzi umekuwa wa kumuandama Joannah na zipu yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilishawahi kuingia na simu chooni huku naongea,asa ile nimeibana hapa hivi katika bega ili nifungue zipu ikanitoka ikaingia direct chooni
Ulitia mkono kwenye choo kuichukua? π
Liver anakufa leo πππ
Tena correct score 3-1
That goes without saying, few more hours to go.
Naamini tupo pamoja katika hili
Hahahahaha lol! Public toilet!?
Hapana...ilikuwa home
Public nisingeweza
Ungekuwa umevaa kanga, gauni, skirt wala zipu usingehangaika nayo ingekuwa ni mwendo wa kupandisha juu na kushusha picchu πππnadhani ulikuwa na suruali.
Dah kwani wanawake hawavai suruali zenye zipu ?Wee mwongo inamaana unakojoa ukiwa umesimama wee si demu?au wewe ni dume umesahu id unayotumia huku
Dah kwani wanawake hawavai suruali zenye zipu ?
Sasa Jeans mtoto ana hips unafikiria atashushaje suruali bila kufungua zipu ?