Ulishawahi kuiona kabisa hii hapa na ukanyimwa? Inasikitisha sana!

Mada za siku hizi za JF ni SHIDA....Ndiyo maana Mwanakijiji hayupo sana humu.
Members wenye IQ nzuri walishaondoka kitambo, tumebaki sisi wenye akili nusu na vichaa. Hata sisi wenye akili nusu hizi game za sasa hivi zimeanza kutushinda hata sisi tunakaribia kuaga mashindano... Sio muda mrefu humu ndani kutakua na ligi kuu ya vichaa yaani Mental- retarded Premier Legue (MPL)
 
Bandugu kwema.

Aisee!
Kuna wanawake wakatili, yani mnafanya yote unamuandaa hadi unamvua halafu anakunyima! Anasingizia mara leo sipo vizuri, mara unayo kubwa sijajiandaa!

Inasikitisha sana!

Sasa ndugu utakuwa una tatizo, yaani umeiona kabisa alafu unanyimwa?
Mwanamke kama hataki kukupa hawezi kukubali mkafikia hatua hiyo
 
Bandugu kwema.

Aisee!
Kuna wanawake wakatili, yani mnafanya yote unamuandaa hadi unamvua halafu anakunyima! Anasingizia mara leo sipo vizuri, mara unayo kubwa sijajiandaa!

Inasikitisha sana!
HILI NALO MKALITAZAME KWA JICHO LA TATU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…