Huyu sio holoholo kweli?Ukiwa hiviView attachment 3436952
Mama antipasKumekuchaaaaa, yani mwanaume anajitamani mwenyewe, daaahh 🤦🏽♀️
Mungu atulindie watoto wetu wa kiume Baba Antipas 🙏🏽Mama antipas
Ameen kipenzi changuMungu atulindie watoto wetu wa kiume Baba Antipas 🙏🏽
Namba yako ya simu sina.Nikiangalia kwenye kioo,
Sura, Ngozi ilivyo, macho, kifua unaona kabisa you are real blessed.
Ukifika mbele za watu unakuta wanakupa attention tena kama wanaume ndio wanakua hawajiamini kabisa.
It is good feeling to look at yourself and say “ yah, am blessed”
Sio kweli kama huna kipaji na pesa hata uwe mzuri gani utaonekana mbwa kwa jamii inayokuzungukaNikiangalia kwenye kioo,