Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
70,916
Reaction score
141,437
Mwaka umekuwa na mambo mengi sana, tupunguze stress kidogo.....Ulishawahi kupata aibu hii?

Miaka ya nyuma kidogo nikiwa bado mwanafunzi form 4 nadhani kuna jibaba enzi hizo buzi, likanipa mistari na kuniita mahali jioni, nikajisema si kula tu??? Naenda mie...mida imefika nikachukua simu ya sister nikampigia na kumtaarifu nakuja ila nakuja na sister angu akasema hamna shida njooni.

Haooo tukatinga na viatu virefu jamani halafu mfukoni hatuna hata sh 100, tax tumechukua akaenda kulipa, tukaagiza kitimoto kg 2 na vinywaji, pale mezani yupo na wenzie wanne wakati tunawait msosi uje yule dingi akaanza kunishika shika basi nikawa namind namwambia nipo na sista angu usinishike tuongee tu, akafanya hivo kama mara tatu mi nakataa....bwanaweeeehhh eti akamind akaanza kunifokea na hakuishia hapo akatufukuza bila hata nauli😂😂 vinywaji hatujamaliza wala kitimoto haijafika....ana dhambi yule fala 😁

Hapo mida kama ya saa mbili hivi tukaanza kutembea kwa miguu kutokea kona ya Bwiru hadi mitaa ya rufiji nyie! nyie! tumeomba lift kwenye daladala wapiii tumenyimwa tukavua na viatu tukakanyaga peku moja mbili hadi home make miguu ishachoka ...huwa nacheka nikikumbuka huo mtoko.

Nimemkumbuka hili tukio baada ya kisa kilichotokea juzi, nilikua mitaa flani naendelea kuukaribisha mwaka, meza ya pembeni akaja demu mkare akaagiza wine akaanza kuipiga ile kunywa kulamba mwendo wa kumsubiria sponsor aje, baada ya muda jamaa akatimba, jamaa mapepe hata haendani na yule demu kwakweli japo hayanihusu 😁

Dem kuona mlipa bill kaja akaongeza na spidi na akachangamka, mara ikaagizwa chupa ya pili, jamaa anaagiza Heineken zake pale anapiga na watu offer....imefika saa nne akatoka kama anaenda kuongea na simu daaahhh mtoto kaachiwa bill pale ilibidi aache simu

Epuka aibu, beba pesa yako, happy new year familia
 
Pole sana kwa matembezi ya lazima 😂😂

Ilishanitokea ila nashukuru Mungu nilikua na kiasi mfukoni vinginevyo ingekuwa fedhea sana.
NB: Unapokutana na old friend ambae mmepotezana mda mrefu usimuamini sana, kaa kijanja watu wanabadilika sana.
 
😂😂😂😂😂😂 Kwakweli ile siku huwa siisahau si angetupa hata buku jamani tupande daladala tulifukuzwa kama mbwa 🤣🤣
Mnaleta ubishoo mbele ya baharia 🤣🤣🤣,,, huyo muhuni kanifurahisha sana tunahitaji wajuba kama hao wanaume tumepungua sana sikuhizi.

We unajua kabisa ukiitwa mtoko lengo ni kuchanyatwa unakuja na dada yako kujiwekea uzio halafu bado kushikwa mbunye na nido hutaki. Hamjui wajibu wenu poteeni harakaaa 🤣🤣🤣🤣
 
Kuna watu hawana huruma, kuna pisi moja nayo ilifukuzwa kama mbwa kwa mwamba kisa pisi ilikataa kutoa kwa mpalange. Ikawa inalia inahitaji msaada hata nauli tu, mda huo mvua inamnyeshea vibaya sana. Boda akapita nae kumsaidia. Leo hii ni bibi na bwana
 
Hahahahaha boda noda alijipatia mke kabisa

Afu kilichoniuma sana nilikua natembea kwa mawazo ni ile kitimoto yani nimeagiza halafu hata sikuitia machoni.....Mungu atanilipa 🤣🤣🤣🤣
 
Mnaleta ubishoo mbele ya baharia 🤣🤣🤣,,, huyo muhuni kanifurahisha sana tunahitaji wajuba kama hao wanaume tumepungua sana sikuhizi.

We unajua kabisa ukiitwa mtoko lengo ni kuchanyatwa unakuja na dada yako kujiwekea uzio halafu bado kushikwa mbunye na nido hutaki. Hamjui wajibu wenu poteeni harakaaa 🤣🤣🤣🤣
😂😂 ni kuwanyoosha tu anakataa kushikwa mazingira
 
Mnaleta ubishoo mbele ya baharia 🤣🤣🤣,,, huyo muhuni kanifurahisha sana tunahitaji wajuba kama hao wanaume tumepungua sana sikuhizi.

We unajua kabisa ukiitwa mtoko lengo ni kuchanyatwa unakuja na dada yako kujiwekea uzio halafu bado kushikwa mbunye na nido hutaki. Hamjui wajibu wenu poteeni harakaaa 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 Sasa mbunye bar jamani???? Ilikua mtoko wa kula tu na maongezi
 
Mwaka umekuwa na mambo mengi sana, tupunguze stress kidogo.....Ulishawahi kupata aibu hii?

Miaka ya nyuma kidogo, kuna jibaba enzi hizo buzi, likanipa mistari na kuniita mahali jioni, nikajisema si kula tu??? Naenda mie...mida imefika nikachukua simu ya sister nikampigia na kumtaarifu nakuja ila nakuja na sister angu akasema hamna shida njooni.

Haooo tukatinga na viatu virefu jamani halafu mfukoni hatuna hata sh 100, tax tumechukua akaenda kulipa, tukaagiza kitimoto kg 2 na vinywaji, pale mezani yupo na wenzie wanne wakati tunawait msosi uje yule dingi akaanza kunishika shika basi nikawa namind namwambia nipo na sista angu usinishike tuongee tu, akafanya hivo kama mara tatu mi nakataa....bwanaweeeehhh eti akamind akaanza kunifokea na hakuishia hapo akatufukuza bila hata nauli😂😂 vinywaji hatujamaliza wala kitimoto haijafika....ana dhambi yule fala 😁

Hapo mida kama ya saa mbili hivi tukaanza kutembea kwa miguu kutokea kona ya Bwiru hadi mitaa ya rufiji nyie! nyie! tumeomba lift kwenye daladala wapiii tumenyimwa tukavua na viatu tukakanyaga peku moja mbili hadi home make miguu ishachoka ...huwa nacheka nikikumbuka huo mtoko.

Nimemkumbuka hili tukio baada ya kisa kilichotokea juzi, nilikua mitaa flani naendelea kuukaribisha mwaka, meza ya pembeni akaja demu mkare akaagiza wine akaanza kuipiga ile kunywa kulamba mwendo wa kumsubiria sponsor aje, baada ya muda jamaa akatimba, jamaa mapepe hata haendani na yule demu kwakweli japo hayanihusu 😁

Dem kuona mlipa bill kaja akaongeza na spidi na akachangamka, mara ikaagizwa chupa ya pili, jamaa anaagiza Heineken zake pale anapiga na watu offer....imefika saa nne akatoka kama anaenda kuongea na simu daaahhh mtoto kaachiwa bill pale ilibidi aache simu

Epuka aibu, beba pesa yako, happy new year familia
Mtoko wako kwa nini uende na sister hapo ndipo ulipo haribu
 
Back
Top Bottom