Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Huyo mwamba aliyewafukuza kokote aliko ajengewe sanamu [emoji3][emoji3]
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio mgeni mualikwa Kama ukiwakuta wanne watawaachia nafasi, warembo wengine wanakuja na kikundi chao cha VICOBA kabisaa.Nae alivokua na midingi minne kwani ilikua kikao cha bodi?? 😁
Wanajifanyaga watoto kumbe washakubuhu.Mtu umemualika anakuja na dada yake! Eboo kwani nimeita kikao cha familia?
Baada ya maongezi ilikuwa kuchanyatana moja kwa moja. Ndio maana alianza na gia namba mbili kukupima upepo. Ungelegeza mbavu angejua hii uhakika 90% anaishi.🤣🤣🤣🤣 Sasa mbunye bar jamani???? Ilikua mtoko wa kula tu na maongezi
😂😂 huyo mdudu amebarikiwa kuliko wanyama wote, ila huyo mwamba aliwakomesha hakika huwez kusahauAfu kilichoniuma sana nilikua natembea kwa mawazo ni ile kitimoto yani nimeagiza halafu hata sikuitia machoni.....Mungu atanilipa 🤣🤣🤣🤣
Usiniambie kijibaba kilikimbia bill na wewe😅Mwana dada hakikisha unatoka na pesa au card ya bank katika matembezi yako muhimu.
Bora ni sahau simu lakin ni card ya bank wala pesa Kwa mkono.veri simpo
tusubiri uzi upoe halafu tuanzishe uzi wetu wa waliowahi kukimbia bila kulipa.SISI WAKIMBIAJI TUNAKOMENDI WAPI
Utukome nyau 😁Mademu wa mwanza waroho sana ,mi nimewagonga sana kupitia misosi
Hongera kwa kuwa vizuri, inaonekana hunaga utoto kwenye mambo seriazHaijawahi nitokea bado 😀😀😀
Nimefurahi kusikia umewahi kaa mtaa wa rufiji, unapajua MALIKUSEMA?Utukome nyau 😁
Mwamba katisha sana, hataki chawa mezani 😀 kama mbaya wacha iwe mbaya. Bia hazinywewi bure eti na kitimoto wangekula kabisa kisha wamtoe mswaki kwa kuaga tu.Huyo mwamba aliyewafukuza kokote aliko ajengewe sanamu [emoji3][emoji3]
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Hakua na lengo la mbunye ndio kwanza mtoko wa kwanza kabisa.....😁😁 Ila pia sikua na mpango wa kumpa make alikua anakohoa kohoa nikawa nawaza kaungua huyu ila kitimoto yake haijaungua 😁Ahahhaha kmmmk show ilikuwa kali, muhuni alikuwa ale zake mbunye kisha aje kuwaoshea wenzie we umekuja na dadaako usiliwe halafu unaleta masharti unadhani bia ni za sadaka zile.
Alijipatia jiko ilikuwa golden chance kwake hakutaka kuipotezaHahahahaha boda noda alijipatia mke kabisa
Basi chukua lesson hapa dia wangu, huu mtoko kwakweli kuna siku nakumbuka nacheka jamani ile moment ya kufukuzwa 🤣🤣🤣Haijawahi nitokea bado 😀😀😀
Watoto wa kike kwa kitimoto kmmmk waliliwa sana miaka ile ya 2005-2010 🤣🤣🤣!Hakua na lengo la mbunye ndio kwanza mtoko wa kwanza kabisa.....😁😁 Ila pia sikua na mpango wa kumpa make alikua anakohoa kohoa nikawa nawaza kaungua huyu ila kitimoto yake haijaungua 😁
Bado wanaliwa ila upepo umehamia kwenye ahadi za iphone🤣
Watoto wa kike kwa kitimoto kmmmk waliliwa sana miaka ile ya 2005-2010 🤣🤣🤣!
Hahahah et anakohoa sana huenda alishakufa.