Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Shida mtoko ulikuwa wa ukomoaji mnoo,na story za kuachiwa bill zinatokana na mazingira kama hayo.Mdau mmoja amewahi sema "unakaribishwa dinner,mnakuja tisa😂"Kilicho kuudhi unayemwita mdingi,ilimchukulia mlinzi,swali alijiuliza ni je ukimwona mwizi au mliafikiana hadi kupanga mtoko😂
 
Kuna dada mmoja nilikuwa namtoa out ,ila nilikuwa namshangaa sana ,anachagua viwanja yy mwenyewe,tena ananiambia twende sehemu fulani ,na mimi nilikuaa naenda tu kwa kuwa nilikuwa nataka mbususu.

Kalikuwa kana ma neno mengi ,tukifika sehemu kana agiza kuku mzima wa kienyeji na hiyo dompo,kanakula ovyo ovyo tu kuku kana muacha kama alivyo.Nilikuwa naumia sana kitendo hicho. Mimi nilikuwa napiga tungi basi naagiza bia zangu nakunywa mdo mdo ,

Bili ikija ni almost elfu 50, na nikiangalia gharama ya bia zangu nilizokunywa haifiki hata 8k.Nilikuwa nikiumia sana ,nikiwa najiambia mwenyewe ,huyu binti si wakuoa hata mara moja .
Kikawaida huwezi kuagiza kuku mzima ambaye anaweza kuliwa na watu hata wanne na wakalizika wote eti wewe ule peke ako,huo ni uharibifu wa pesa .

Nilikula mbususu nikaruka futi elfu hata simu nikawa sipokei
 
Utaratibu wangu, nikiitwa sehemu lazima nihakikishe naenda na nauli yangu kibindoni pia kama ni mbali ni nahakikisha pesa ya lodge ninayo bila kikitokea chochote niweze kukabiriana nacho.
 
Nido🤣🤣🤣🤣
 
Nshawahi itea sehemu nkaagiza redbull chips na kuku ,jamaa akashtuka heee mi Sina Hela[emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3]nkamuambia usijali ntalipa mwenyewe nikala nikalipa hakuongea mpk naondoka[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nimechekaaa mnooo, aibu ilimshukaa shuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utakuwa mchovu sana we jamaa yani hauna Salio bank Wala kwenye mitandao ya simu?
 
Stress zilishakuisha au bado unazo?
 
Nashukuru hadi nazeeka haya mambo hayajawahi nikuta,ila nini wanawake wenzangu mnatoka out na stranger bila cash mkononi? Walau pesa ya dharura.Hata rafiki enyewe si wa kumwamini sembuse li stranger?Kweli mna roho ngumu..
 
Your browser is not able to display this video.

Wengine huwa wanaokolewa na masela tena dakika za nyongeza
 
Nashukuru hadi nazeeka haya mambo hayajawahi nikuta,ila nini wanawake wenzangu mnatoka out na stranger bila cash mkononi? Walau pesa ya dharura.Hata rafiki enyewe si wa kumwamini sembuse li stranger?Kweli mna roho ngumu..
Life is full of advantures......enjoy kila moment
 
Uzinzi uzinzi F4 unapelekwa kwenye mabaa wa mabuzi, mkaambulia kutembea kwa miguu Kona ya Bwiru mpaka Rufiji si mchezo. Mliua winga ya Isamilo ya chini kanisa la AICT via Manispaa, Sekou Toure Hosp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…