Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hebu tumiana mimi location fastaaaBabuuuuh njoo nikupeeee, seriously
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tumiana mimi location fastaaaBabuuuuh njoo nikupeeee, seriously
Njooo PM babuuuHebu tumiana mimi location fastaaa
Nshawahi itea sehemu nkaagiza redbull chips na kuku ,jamaa akashtuka heee mi Sina Hela[emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3]nkamuambia usijali ntalipa mwenyewe nikala nikalipa hakuongea mpk naondoka[emoji16][emoji16][emoji16]Mwana dada hakikisha unatoka na pesa au card ya bank katika matembezi yako muhimu.
Bora ni sahau simu lakin ni card ya bank wala pesa Kwa mkono.veri simpo
Kumbe ht hamkula[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji125]poleAfu kilichoniuma sana nilikua natembea kwa mawazo ni ile kitimoto yani nimeagiza halafu hata sikuitia machoni.....Mungu atanilipa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hivi ndivyo inavyotakiwa mwanamke uwe.tena ingewezekana na bill yake ungemlipia kabisa..shwainiNshawahi itea sehemu nkaagiza redbull chips na kuku ,jamaa akashtuka heee mi Sina Hela[emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3]nkamuambia usijali ntalipa mwenyewe nikala nikalipa hakuongea mpk naondoka[emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa mtoto wa form four hela anatoa au card ya benki anatoa wapi ?Mwana dada hakikisha unatoka na pesa au card ya bank katika matembezi yako muhimu.
Bora ni sahau simu lakin ni card ya bank wala pesa Kwa mkono.veri simpo
Ukajipeleka tu bila kujua kuwa mtoko unaambatana na kuliwa ???Mwaka umekuwa na mambo mengi sana, tupunguze stress kidogo.....Ulishawahi kupata aibu hii?
Miaka ya nyuma kidogo nikiwa bado mwanafunzi form 4 nadhani kuna jibaba enzi hizo buzi, likanipa mistari na kuniita mahali jioni, nikajisema si kula tu??? Naenda mie...mida imefika nikachukua simu ya sister nikampigia na kumtaarifu nakuja ila nakuja na sister angu akasema hamna shida njooni.
Haooo tukatinga na viatu virefu jamani halafu mfukoni hatuna hata sh 100, tax tumechukua akaenda kulipa, tukaagiza kitimoto kg 2 na vinywaji, pale mezani yupo na wenzie wanne wakati tunawait msosi uje yule dingi akaanza kunishika shika basi nikawa namind namwambia nipo na sista angu usinishike tuongee tu, akafanya hivo kama mara tatu mi nakataa....bwanaweeeehhh eti akamind akaanza kunifokea na hakuishia hapo akatufukuza bila hata nauli[emoji23][emoji23] vinywaji hatujamaliza wala kitimoto haijafika....ana dhambi yule fala [emoji16]
Hapo mida kama ya saa mbili hivi tukaanza kutembea kwa miguu kutokea kona ya Bwiru hadi mitaa ya rufiji nyie! nyie! tumeomba lift kwenye daladala wapiii tumenyimwa tukavua na viatu tukakanyaga peku moja mbili hadi home make miguu ishachoka ...huwa nacheka nikikumbuka huo mtoko.
Nimemkumbuka hili tukio baada ya kisa kilichotokea juzi, nilikua mitaa flani naendelea kuukaribisha mwaka, meza ya pembeni akaja demu mkare akaagiza wine akaanza kuipiga ile kunywa kulamba mwendo wa kumsubiria sponsor aje, baada ya muda jamaa akatimba, jamaa mapepe hata haendani na yule demu kwakweli japo hayanihusu [emoji16]
Dem kuona mlipa bill kaja akaongeza na spidi na akachangamka, mara ikaagizwa chupa ya pili, jamaa anaagiza Heineken zake pale anapiga na watu offer....imefika saa nne akatoka kama anaenda kuongea na simu daaahhh mtoto kaachiwa bill pale ilibidi aache simu
Epuka aibu, beba pesa yako, happy new year familia
😂😂😂😂😂😂😂😂Sasaivi nimekumbuka tukio kama hili lako
Siku hiyo nilikuwa natoka zangu uko kuzulula kufika home nimemkuta dada yangu kaulamba kweli nikamwambia unatoka akasema ndio kwaza vaa tutoke wote hili mzee asije leta noma nikavaa chap
Tumetoka getini akawa anaongea na jamaa akasema ametuma boda kufika pale boda akaaza kisilani sibebi wawili dada angu mtata akasema basi acha
Tukafosi kupanda hivyo hivyo kufika pale eneo la tukia jamaa akapiga simu upo na nan? Dada akajibu na mdogo wangu yul jamaa akakata simu dad akapiga tena akupokea nikamwambia huyo jamaa mshamba embu achana naee tuludi home tukaludi home mda uho uho dada angu mwingine alitucheka sana
[emoji86][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliambatana na dada yake kama anaenda kwenye sherehe ya ubatizo.Ahahhaha kmmmk show ilikuwa kali, muhuni alikuwa ale zake mbunye kisha aje kuwaoshea wenzie we umekuja na dadaako usiliwe halafu unaleta masharti unadhani bia ni za sadaka zile.
Kavunja misingi ya bahariaAliambatana na dada yake kama anaenda kwenye sherehe ya ubatizo.
Hata mimi namtimua.
Lazima atimuliwe, mtoko lazima uambatane na kichapo sasa anakuja na ngao ili asiliwe unabaki naye wanini ?Kavunja misingi ya baharia
Hahahahahah kaja na bodigadi 😀Lazima atimuliwe, mtoko lazima uambatane na kichapo sasa anakuja na ngao ili asiliwe unabaki naye wanini ?
Timua arudi nyumbani huko akaoshe vyombo kwao.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ili kuzuia asiliweHahahahahah kaja na bodigadi [emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee ulimuweza jamaa itakuwa hakukutafuta tenaaa aisee..Nshawahi itea sehemu nkaagiza redbull chips na kuku ,jamaa akashtuka heee mi Sina Hela[emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3]nkamuambia usijali ntalipa mwenyewe nikala nikalipa hakuongea mpk naondoka[emoji16][emoji16][emoji16]
Yeah hata kuiona tu sikuiona, bado inarostiwa huko tayari tushafukuzwaKumbe ht hamkula[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji125]pole
Ndugu Mtanzania mwenzangu,katika mwandiko wangu kuna mahali umeona nimezungumzia mtoto wa from four?ungeelewaSasa mtoto wa form four hela anatoa au card ya benki anatoa wapi ?
Muhuni kaamua isiwe tabu kawatoa dima tu 🤣[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ili kuzuia asiliwe
🤣🤣🤣🤣🤣 Alijiandaa kulipa bill ya soda tu....Nshawahi itea sehemu nkaagiza redbull chips na kuku ,jamaa akashtuka heee mi Sina Hela[emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3]nkamuambia usijali ntalipa mwenyewe nikala nikalipa hakuongea mpk naondoka[emoji16][emoji16][emoji16]
Nasi tulikua na misingi yetu ya NIITE TUJE 🤣Kavunja misingi ya baharia