Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah unataka kusema nn?
Yani bora akuuee kuliko kwenda na dada ako anaenda kuonana na mwanaumee.. kwanza ni dharau sana sema jamaa alikuwa young so haina shida ilaa mtu mzimaa unaongozana na dada ako kwenda kwenye date ni ufalaa sanaa
 
kuna mwaka mmoja kipindi bado naishi gana hapa mwanza, kuna dada humu alipost kuwa anataka mme, bila hiana tukachekiana na kukubaliana kukutana pale kona ya bwiru kuna bar moja nimeisahau jina iko nyuma ya diamod bar and car wash. alifika mida ya saa moja jioni.
mimi nilienda na 50000, nikijua itatosha kila kitu..
tatizo lilikuwa ni yeye ushirikiano wake haukunifurahisha.. yaani mda wote yeye anasifia jamaa yake mwingine wa jamii forum huku kaangiza bili ya 25000, kila nikitaka kujiongelea ili tuzungumze ya kwetu yeye anarudisha mada kwa huyo jamaa.. ukweli aliniboa sana. nilichofanya mda wa billi yule mhudumu nilimwambia alete bill mbili tofauti na kila mmoja alipe yake.. yule alichukia mbaya na hatukuendelea tena na mawasiliano..
 
Sasaivi nimekumbuka tukio kama hili lako

Siku hiyo nilikuwa natoka zangu uko kuzulula kufika home nimemkuta dada yangu kaulamba kweli nikamwambia unatoka akasema ndio kwaza vaa tutoke wote hili mzee asije leta noma nikavaa chap

Tumetoka getini akawa anaongea na jamaa akasema ametuma boda kufika pale boda akaaza kisilani sibebi wawili dada angu mtata akasema basi acha

Tukafosi kupanda hivyo hivyo kufika pale eneo la tukia jamaa akapiga simu upo na nan? Dada akajibu na mdogo wangu yul jamaa akakata simu dad akapiga tena akupokea nikamwambia huyo jamaa mshamba embu achana naee tuludi home tukaludi home mda uho uho dada angu mwingine alitucheka sana

[emoji86][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii aibu yenu imefika kilo tano
 
Hahahahaha
kuna mwaka mmoja kipindi bado naishi gana hapa mwanza, kuna dada humu alipost kuwa anataka mme, bila hiana tukachekiana na kukubaliana kukutana pale kona ya bwiru kuna bar moja nimeisahau jina iko nyuma ya diamod bar and car wash. alifika mida ya saa moja jioni.
mimi nilienda na 50000, nikijua itatosha kila kitu..
tatizo lilikuwa ni yeye ushirikiano wake haukunifurahisha.. yaani mda wote yeye anasifia jamaa yake mwingine wa jamii forum huku kaangiza bili ya 25000, kila nikitaka kujiongelea ili tuzungumze ya kwetu yeye anarudisha mada kwa huyo jamaa.. ukweli aliniboa sana. nilichofanya mda wa billi yule mhudumu nilimwambia alete bill mbili tofauti na kila mmoja alipe yake.. yule alichukia mbaya na hatukuendelea tena na mawasiliano..
Aliemwambia alete habari za bishoo wake wa jf ni nani
 
Yani bora akuuee kuliko kwenda na dada ako anaenda kuonana na mwanaumee.. kwanza ni dharau sana sema jamaa alikuwa young so haina shida ilaa mtu mzimaa unaongozana na dada ako kwenda kwenye date ni ufalaa sanaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu khaaah.
 
Back
Top Bottom