Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Kina dada hata ukitoka out na baba chanja beba hela ya akiba, huwezi jua lolote linaweza kutokea.
Ni aibu mtu unaitwa mtoko halafu unategemea akulipie mpaka nauli uliyojia kweli?? Ndio maana wanatuona wadangaji na wapiga vizinga, tunajishusha wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe peponi moja moja utakunywa wine na malaika gabriel
 
Kumbe ukimtoa mtoto wa mtu mkale Lunch au Dinner ndo mnaita offer sio, Yaani mimi nakupa offer ya kukulisha sio kwamba tumeenda kula bali ni kukupa offer!!! so, ili kuua hilo neno inatakiwa ujilipie bill yako c ndiyo?, Unaona bado haitoshi unanipa jina la sponsor/buzi oooh, nimetoka na cha kujifunza hapa.
 
Back
Top Bottom