physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
Upo msikiti mkoani,alikuwepo Imam mmasai,na anavyaa kimasai.Binafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?
Karibuni wakuu