wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Duh mi sijawahi kuona wamasai kwny nyumba za kupanga Sijui hata hua wanaishi wapi.Unawaona tu asubuhi mpk jioni wanauza vitu vyao Ila huoni wanapoenda kulala mzee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywa bia.Maji hayatoki hii siku ya nne
Nipo Nanyogie hakuna sehemu ya biaKunywa bia.
Sheikh wa mkoa wa Arusha Ni mmasai.Hivi hawa jamaa masai tuseme hawana dini au nini,
Mimi mpaka sasa sijawahi ona masai shekhe.
Je wewe hujawai ona masai wa namna gani?
Cc Zero IQ
Hivi hawa jamaa masai tuseme hawana dini au nini,
Mimi mpaka sasa sijawahi ona masai shekhe.
Je wewe hujawai ona masai wa namna gani?
Cc Zero IQ
Wale wakwavi hakuna Masai pale.Nenda Chalinze utawakuta wengi tu.
kule walutheran waliingia mapema sana, na kwa kenya kidogo kuna catholics. majority ya wamasaai Tanzania ni walutheran hata madhehebu mengine ya Kikristo hawapo, sembuse kuwa waislam?Hivi hawa jamaa masai tuseme hawana dini au nini,
Mimi mpaka sasa sijawahi ona masai shekhe.
Je wewe hujawai ona masai wa namna gani?
Cc Zero IQ
wengi wa wanaowaita albino"zeruzeru" huwa wanakuja kuzaa albino ili waone utamu wake. acha ubaguzi, omba radhi na ujifunze kutoongea lugha za kibaguzi za aina hiyo. tema mate chini.Mbona mimi sijawahi kumwona masai zeruzeru na silalamiki.
wengi wa wanaowaita albino"zeruzeru" huwa wanakuja kuzaa albino ili waone utamu wake. acha ubaguzi, omba radhi na ujifunze kutoongea lugha za kibaguzi za aina hiyo. tema mate chini.
endelea kubagua tu watu. ilo neno ni derogatory kwa hawa wenzetu, and you know it lakini bado unaendelea kuwaumiza kwa kulitaja. acha ujinga.Albino ni kizungu, kiswahiri ni zeruzeru.
Nilitaka kushangaa ikosekane comment kama hii kwenye uzi kama huu,, anyway bora sie magaidi lkn mpaka utuingilie kwenye timing zetu ndo tunakunyoosha kuliko wewe imani yako inaruhusu kuolewa na kidume mwenzio akupumulieDini ya magaidi😥😥
mkuu ugaidi hauna justification, na Mungu wa kweli huwa hatetewi. vilevile, sio dini zote za magharibi wanakubali usodoma,. na pia hata zile dini zinazokataza usodoma kwenye vitabu vyao kimatendi watu wake sio kwamba hawafanyi, nenda arabuni, zanzibar, mombasa, tanga etc kagua marinda ya mabinti wanaoolewa au fanya tafiti ya mapunga utapata jibu hadi ukimbie. tuheshimiane tu hizi dini wala tusinyoosheane vidole.Nilitaka kushangaa ikosekane comment kama hii kwenye uzi kama huu,, anyway bora sie magaidi lkn mpaka utuingilie kwenye timing zetu ndo tunakunyoosha kuliko wewe imani yako inaruhusu kuolewa na kidume mwenzio akupumulie
PoleniMaji hayatoki hii siku ya nne
Usiku wanafanya kazi ya kulinda vitasa, akipata kazi mmoja wanakuja wanne kumpiga tafu mwenzaoDuh mi sijawahi kuona wamasai kwny nyumba za kupanga Sijui hata hua wanaishi wapi.Unawaona tu asubuhi mpk jioni wanauza vitu vyao Ila huoni wanapoenda kulala mzee.