Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Binafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?

Karibuni wakuu
Ww wanaongia Msikitin wote unajua makabila yao au ulitaka waingie uchi kama wanavyoingia makanisan uislam unaendana na mavazi kwa taarifa yako wapo na wengi tu
 
Wabongo bhana, mtu hata huko wanapoishi wamasai haupajui...! alafu unauliza swali la jumla "eti ushawahi kukutana masai muislam" kijana fungua ubongo wako na ujiulize tu "Ninaishi hapa kigogo mbuyuni, tembea yangu sana nimeenda bunju utamuuliziaje swali mtu anayeishi Manyara au Arusha......?"
Kijana Fanya utafiti misikiti mingapi ipo monduli?, simanjiro, olekesmet n.k
Tembea kuanzia Kisongo, duka bovu mpaka unafika babati njiani kuna misikiti mingapi na unaokutana nao ni raia wa aina gani?
Kwa ujumla sisi huku afrika dini zililetwa na waarabu na wazungu, mababu zetu walikuwa na dini zao.
Thanks bibie. Hakuna kitu kibaya katika maisha kama generalization. Moja na kumi na moja ni vitu viwili tofauti.
 
mbona wamasai waislam ni wengi sana sana na wanazidi kuingia dini tena ujue uislam sio kuvaa baibui na msuli hilo ni vazi la nchi huko hata wakristo wanavaa baibui na misuli
 
Sheikh Amri Abeid, mmoja wa waasi wa TANU na Mkuu wa Zamani wa Mkoa wa Arusha .
 
Ni wakutafuta kwa tochi kama ilivyo Wanzibar kuwa wakristo.
Wazanzibar wakristo umekariri tu mbona wengi ana na charles hilary ,kaka yake nadhani mi mchungaji kabisa ,brigedia Adam Mwakanjuki na yupo Mwingine ni lawyer mkubwa rafiki yangu siwezi mtaja just to name a few ila kwa pointers nenda maeneo ya kiboje mbuzini mahonda maeneo ya liembe samaki na chukwani utawakuta tu wa luzaliwa sio wahamiaji ni wazanzibar na kwa taarifa tu huo ikristo umeingia tanganyika kupitia zanzibar na kanisa la kwanza Afrika mashariki lmejengwa zanzibar kama unavyoona lodge ya kwanza ya freemason afrika pua imejengwa zanzibar as well as hekalu la waabudu jua zoroistians lipo zanzibar ambao hao ni jamii ya wa iran na ibabda zao zauabudu jua na mmoja wa wana familia maarufu wa waabudu jua ni familia ya mwanamuziki freddy mercury aliyechukua uraia wa uingereza baadae .
 
ni sawa na kukutana na polisi ambaye ni kilema
Wapo kuna polisi ana kilema cha kupiga watuhumiwa na kuwaua huyo!halafu hitangazi mtuhumiwa alipigwa risasi akijaribu kutoroka bahati mbaya akafariki
 
Wazanzibar wakristo umekariri tu mbona wengi ana na charles hilary ,kaka yake nadhani mi mchungaji kabisa ,brigedia Adam Mwakanjuki na yupo Mwingine ni lawyer mkubwa rafiki yangu siwezi mtaja just to name a few ila kwa pointers nenda maeneo ya kiboje mbuzini mahonda maeneo ya liembe samaki na chukwani utawakuta tu wa luzaliwa sio wahamiaji ni wazanzibar na kwa taarifa tu huo ikristo umeingia tanganyika kupitia zanzibar na kanisa la kwanza Afrika mashariki lmejengwa zanzibar kama unavyoona lodge ya kwanza ya freemason afrika pua imejengwa zanzibar as well as hekalu la waabudu jua zoroistians lipo zanzibar ambao hao ni jamii ya wa iran na ibabda zao zauabudu jua na mmoja wa wana familia maarufu wa waabudu jua ni familia ya mwanamuziki freddy mercury aliyechukua uraia wa uingereza baadae .
Hao sio Wazanzibar Ni Wazanzibara ambao wameishi kule miaka mingi baada ya wazazi wao kuhamia kule
 
Yule mkurugenzi wa ile kampuni inawatafutia watu vyuo nje ofisi zao sipo pale oilcom VETA ni muislim
 
wapo wengi tena kuna mmoja nilimkuta sehemu pana itwa namnga mpakani ana msikiti kabisa kajenga yeye na ana vaa mashuka na katoboa masikio anaitwa shekhe masikio
Labda aitwe hivyo lakini ukiweka na jina la kimasai hapo tayari umeharibu
 
Back
Top Bottom