Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

nhcap110111_02.jpg

It's 'Allahu Akbar' as Islam spreads across maasailand
Ndio huyo sheikh masikio?
 
Albino mmasai? Sio kwamba huwa hawazaliwi, ila hawapo. Labda kwa ndugu zetu wakenya, kama wana masai albino, wanacheka mauaji ya albino ya Shinyanga.
Wanazaaga Ila Ina sadikika wanawauwaga kwa kuamini ni mtoto mwenye laana katika ukoo....
 
Wapo wengi na ni waumini wazuri Sana. Wanapochanganya Uislamu na Umasai kwa pamoja msingi mkuu ukiwa HAKI.

Wanakuwa Imara Sana KIIMANI.
 
Hivi hawa jamaa masai tuseme hawana dini au nini,
Mimi mpaka sasa sijawahi ona masai shekhe.

Je wewe hujawai ona masai wa namna gani?

Cc Zero IQ
Mawazo mfanano, hata mimi nilikuwa nafikiria hili jambo
 
Hivi hawa jamaa masai tuseme hawana dini au nini,
Mimi mpaka sasa sijawahi ona masai shekhe.

Je wewe hujawai ona masai wa namna gani?

Cc Zero IQ
Tatizo lenu mnaangalia wavaa mashuka tu na akili zenu zimeshakariri kuwa Masai ni yule anayevaa shuka tu, kumbe kuna Masai kibao hizo habari za mashuka hawafagilii wanapokuwa mijini, kwaufupi Masai wapo kwenye kila fani
 
Back
Top Bottom