Wabongo bhana, mtu hata huko wanapoishi wamasai haupajui...! alafu unauliza swali la jumla "eti ushawahi kukutana masai muislam" kijana fungua ubongo wako na ujiulize tu "Ninaishi hapa kigogo mbuyuni, tembea yangu sana nimeenda bunju utamuuliziaje swali mtu anayeishi Manyara au Arusha......?"
Kijana Fanya utafiti misikiti mingapi ipo monduli?, simanjiro, olekesmet n.k
Tembea kuanzia Kisongo, duka bovu mpaka unafika babati njiani kuna misikiti mingapi na unaokutana nao ni raia wa aina gani?
Kwa ujumla sisi huku afrika dini zililetwa na waarabu na wazungu, mababu zetu walikuwa na dini zao.