Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Binafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?

Karibuni wakuu
Upo msikiti mkoani,alikuwepo Imam mmasai,na anavyaa kimasai.
 
Maasai waislam wapo wengi Sana.

Huujawahi kuishi Arusha , Manyara so ni rahis kudhan hakuna maasai waislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…