Ulishawahi kukutana na mtu aliyevaa nguo zinazofanana na zako? How did you react to it?

Aisee
 
Nilienda kukutana na mtoto fulani niliemfukuzia muda mrefu bila mafanikio, akanielekeza bar moja hivi magomeni nikalamba uzi wangu wa Chelsea kufika pale nakuta wahudumu wote ndo sare nilitaman nigeuke pale pale. Bahati mbaya mrembo mwenyewe alikua kishaniona niliishiwa pozi confidence yote ilikata pale pale.
 
Hivi ukiwa na gari unique faida zake ni zipi?

Ni kama vile kujenga nyumba kuubwa nzuri ya gharama kubwa, au kuwa na kiatu kizuuri kushinda wengine, au kuwa na mume tajiri au familia nzuri. Au kuwa wa kwanza darasani, au kufanikiwa kupanda mlima kilimanjaro. Hakuna faida ila ni furaha tu ya mwenye nacho. Satisfaction.
 
Ahaa kumbe, ila kuwa wa kwanza darasani kuna faida....kwanza unapewa zawadi kwa hiyo mzazi badala ya kununua daftari kumi atanunua saba, pili unapendwa na walimu pamoja na wenzio kwa hivyo kuna privilege utakuwa unazipata ambazo wenzio hawapati
 
JPM ndio baba lao
 
Nakutana na maafisa wamevaa nguo na vyeo kama vyangu kila siku, tunareact kwa kupigiana salute
 
Ahaa kumbe, ila kuwa wa kwanza darasani kuna faida....kwanza unapewa zawadi kwa hiyo mzazi badala ya kununua daftari kumi atanunua saba, pili unapendwa na walimu pamoja na wenzio kwa hivyo kuna privilege utakuwa unazipata ambazo wenzio hawapati
Toka huko CHADEMA ulipo, unafanya nini mpaka sasa?
 
Kuna siku mie nimejipigilia pamba Kali hatari nikaenda kumcheki bebe, ile nashuka kwenye usafiri namuona jokeri mmoja kajipigilia pamba ile ile halafu anashushia mkaa kutoka kwenye gari. Aaaaghhhh!

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…