Ulishawahi kukutana na mtu aliyevaa nguo zinazofanana na zako? How did you react to it?

Ulishawahi kukutana na mtu aliyevaa nguo zinazofanana na zako? How did you react to it?

nilikuwa wa kwanza kupaki nikaingia duka la spare...akaja jamaa akapaki sawa sawa na mimi naye akaja dukani
Sikuwa makini kuhusu gari yake hivyo nilipanda yangu na kutaka kuondoka ...ghafla nikamuona jamaa keshajaa mlango wa dereva anapiga kioo..
Doooh
 
Infantry inaonekana una umri mdogo.sisi watu wazima kufanana nguo si jambo la kufurahia mpaka kwenda salimiana. Ni jambo la aibu. Tena ndo tutakwepana kabisa kama hatujaonana.
 
Back
Top Bottom