Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Temeke sokoni, ila tafuta MTU anaejua maeneo wanapo fungua mzigo uende naehv maeneo/masoko gan hapa dar wana tshet & jeans/kardet orijinoza mtumba?? mana hz tshet za dukan nikifua mara 2 basi inapauka kabisa.the same to cardet/jeans
Mkuu, hivi Temeke sokoni ndio pale pembeni ya hospitali ya wilaya?Temeke sokoni, ila tafuta MTU anaejua maeneo wanapo fungua mzigo uende nae
Pale ni Tandika sokoni mzeeMkuu, hivi Temeke sokoni ndio pale pembeni la hospitali ya wilaya?
Ninapajua vizuri sana tuTemeke sokoni, ila tafuta MTU anaejua maeneo wanapo fungua mzigo uende nae
heheheee ili kupunguza jau au sio mkuu?Unaongeza option mnawashiana mnaofanana rangi tu
heheheee[emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah mkuuMkuu, hivi Temeke sokoni ndio pale pembeni la hospitali ya wilaya?
sawaYeah mkuu
You think eaxactly like I doYeah mkuu
Sawa mkuu...Mimi haikuwa nguo bali magari..zote zilikuwa
Make: Toyota Cresta
Model: GX 90
Color: Silver
Registration: T800ABJ , T800ADJ
YapYeah mkuu
Kama nyeupe basi ni nyeupe tuu mweusi anachuniwaUnaongeza option mnawashiana mnaofanana rangi tu
Ndio inavyopaswa kuwa mkuu kwa maana gari ni nyingi utamuwashia taa nani na utamuacha nani kwa mfano?Kama nyeupe basi ni nyeupe tuu mweusi anachuniwa
Dooohnilikuwa wa kwanza kupaki nikaingia duka la spare...akaja jamaa akapaki sawa sawa na mimi naye akaja dukani
Sikuwa makini kuhusu gari yake hivyo nilipanda yangu na kutaka kuondoka ...ghafla nikamuona jamaa keshajaa mlango wa dereva anapiga kioo..
Umri wangu ni mdogo sana ndio maana ninatoaga shikamoo katika threads zangu...Infantry inaonekana una umri mdogo
Ni wapi nimeandika kuwa nimefurahia na kwenda kusalimiana na mtu ambaye nguo zetu zilifanana?...sisi watu wazima kufanana nguo si jambo la kufurahia mpaka kwenda salimiana.
Soma tena thread yangu. Nimeandika hivi; How did you react to it? mlipungia mkono, mlipeana tabasamu, mlimfuata kumsalimia au ulikwepesha macho?Tena ndo tutakwepana kabisa kama hatujaonana.
Ninalitambua hili fika ndio maana nikaamua kuleta hii mada hapa ili kila mwana JF achangie experience yake katika hili.Ni jambo la aibu.