Weka picha
Sina picha yake, ila kuna mdau hapo juu kasema nayeye kaipiga hiyo pisi na alihifadhi picha yake.

Mimi sina utaratibu wa kupiga picha za pisi yeyote na kukaa nazo. Wife wangu huwa kuna nyakati anashinda na simu yangu hata masaa 2 anachunguza, so sitaki nishikwe na kidhibiti hata kwa bahati mbaya.
 
Tupate chai kidogo kutoka kwa wadhamini

Huu mtindo wa kuacha simu kwa wife hauna afya sana kwenye familia maana anything can happen at anytime 😂😂😂
 
Nimependa sana hapo mwisho "kila nafsi itaonja mauti"
Wewe ni Baharia kama mimi huwaga sina kuremba zigo likiingia line nabutua peku.
 
Niliwahi pia kupiga kimasihara mdada mmoja humu sema namheshimu sana. Sijui kama atanipa ridhaa nieleze lile tukio!!
Tulikulana kimasihara kweli kweli, ile mara ya kwanza.
Hii ndio inafanya wana jamii tusipeane maana ukiomba tu anakuambia ukaniandike kwenye kula tunda kimasihara, wamekuwa waoga sana kwa hilo

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Huu mtindo wa kuacha simu kwa wife hauna afya sana kwenye familia maana anything can happen at anytime 😂😂😂
Uko sahihi, shida wakati upekuzi unafanyika nakuwa nimelala.

Unaweza kuta mwenzako kaamka usiku mnene yuko na simu yako, kama Una vimeo mbona shida.

Ndiyo maana katika vitu naviepuka ni kutunza picha kwenye simu.
 
Hata mimi siwez weka humu picha yake italeta noma alafu sio ustaarabu, my woman simu yangu yuko nayo mbali kidogo huwa haishiki shiki nna simu nyingine ndio huwa anashika na huko kuna namba za washkaji tu
 
Wametofautiana. Wangu huwa anafanya upekuzi wa simu zangu zote Usiku wa Manane ukiwa umelala.

Yanini nimuumize Wife kwa vitu naweza kuviepuka. Kwanza hata vitu nakwepa ni pamoja na Camera room, yaani nitahakikisha simu ya Manzi imezimwa, au vinginevyo imekaa mezani naiona.

Mademu wengine hawaeleweki, wanaweza kuchukua picha then wakaja kukublack mail. Wengine tunaheshima zetu kitaa
 
Uko sahihi, shida wakati upekuzi unafanyika nakuwa nimelala.

Unaweza kuta mwenzako kaamka usiku mnene yuko na simu yako, kama Una vimeo mbona shida.

Ndiyo maana katika vitu naviepuka ni kutunza picha kwenye simu.
Huu mtindo wa kuacha simu kwa wife hauna afya sana kwenye familia maana anything can happen at anytime [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo mkoa , na nina msala Kama huo, ipo hivi wakati nasafiri nilisahau kubeba simu yangu ya pili, huwa inatokea lakini hali inakuwa shwari, shida ni kuwa majuzi wife simu yake ilidondoka , na kupasua display , ikabidi aichukue simu yangu na kuweka line zake , bahati mbaya mwanangu anajua password as huwa anaangalia cartoon humo , kamtajia mama ake na maisha yanaendelea

Honestly sina raha maana mlipuko unaotaka kutokea sio wa kipolepole.
 
Pole Mkuu

Ni muhimu kutowaliza tuwapendao, hata Kama tunakula matunda kimasihara ni muhimu kutopiga Dry unless mmepima na hiyo Pisi lakini Wife asijue kabisa.
 
kabisaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…