Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Young Nas: Mama NTilie Kimasihara....
Basi katika harakati za kila siku....miaka hii ya karibuni tuu Tabata Kimanga....nikita kama xingle boy wengine nimlaji mzuri xana wa Mama ntilie kuliko kujitengenezea chakula mwenyewe....
#Washkaji zangu WAKE KWA WAUME NINA VISA VINGI NIKIWA KAMA KIJANA MACHACHALI...HIKI NI CHA 2 KUWAPA JAPO XITOKUA NATOA KWA MTIRIRIKO...NITAKACHO KIKUKUMBUKA NIKIWA NA MUDIII NAKITOA....
OK let's gooooooooooo......
Basi kuna mahali nilikua nimezoea kula nilikua naenda mara kwa kuna Dada akawa kama kavutiwa na mimi hivi alikua ni Mfanya kazi palee mgahawani yaani akitoka Basii tuu alikua yuko active xana mpaka nikawa najihis raha kumuona asee uzuri akawa kanizoea, mara anitaniee flani #Jamal unajifanya mtanashatiii me hua nacheka na wew kukujifanya xio mtundu....
Katika mazo3a hayo mara nikienda kuniweka kola xawa...akidai alikua ananitoa mududu (sisimizi).....basii balaa likaanzia hapo wazee nikawa namwambia xiku mdudu akikupanda wew me ximtoi mpaka uliee nacheka xana akasema kumbe huna huruma! Wew....me: xina huruma kwa watu wachokozi kama wew zulfa!...kwakua wateja walikua xio wengi tulijiachia kwa xtor za mtindo huoo coz ilikua Late sana kama saa 5 na usheee....then nikasepa xiku hiyo!...
[emoji1787][emoji1787]KIMASIHARA......kesho yake kama kawa mjuba nikafika kupata afya ya mwili....akaniuliza umechelewa ten leo nikajib Home tuu akauliza kwani unakaa wap nikampa location coz palikua sio mbali mtaa wa pili tuuu......basi nikachombeza karibu kwangu akasema ooh kumbe kwako xio kwenu mee ndio ok kesho ntakuja kuona kinachokchelewexhaga kuja kula...nikachela huku nasepa.....nikaenda mpka mbele nikasesensii mbona kama mtoto sound yake leo like seriously kuhusu kuja...Dadadeki nikaona acha nibeti...tena Nibetii ONLINE [emoji28] nikarudi bahari nzuri nilikua kwa njee nikampa ximu ikiwa tayr nimeanza Kuandika sifu Wajumbe! najua mmenipata nilikua nataka nini.....basii mtoto akatembea na chaki Wallah....xikuremba nika"save na kubeep papohapo....yaaani #immediately.......
[emoji533][emoji533][emoji533]kesho yake ilikua Jmos kumbe hua hawa anajua Off bhana mtoo mida xaa 12 jioni...mtoto akaruka hewai jina likatokea #Zuzu nikashtuka zuzu!? Nikapokea kumbe alikua zulfa mama ntilie....akaniulize uko wa Geto haya naja unite mdudu kwa Blauzi yangu huku anacheka kwa nikacheka pia...na mkukaribia...ananiuliza halafu una movi kwako mimi bila kupepesa Zipo za kutosha....lakni ziwe za kutafsiliwa nikafunika kombe mwanaharamu apitie ninazpo piaa ( kumbe walaa).....baada ya kukataximu[emoji12][emoji12][emoji12] (#kumbe kwa lile wenge nili"save vibaya badala ZUU ikawa Zuzu)
Me usongo ushanipanda....uapako wa Gwajima upo usoni tena.....dk 15 text niko hapa kwe Tank Nyumba xiijui njoo...nikatoka nje kuangaza kwa mbali nikaona mtoto ndani ya Dela alivyo na nyama mzigua yulee nikampa ishara ajee
.....cha akazama geto cha kanza akadai movie zakee kwaku xikua za kutafsili nikaweka ya jamii shenii.....nikampanga hua xiipenda zilizotafsiliawa akaelewa....
Kwakeli Japo movi za jack hua zinaburudisha lakin niliona ni kama UTO tu (yanga ) mbele ya mtoto zulfa.......dk5 nikaaza fujo mara nitoke mtoto akat hakuna mtoto asemi kitu zaidi ya kunitoa mkono kwa vitendo mabegani....nikawa niko na touches za hapa na pale....haa kumbe mtoto ukishika nyuma ya xhingo akalege na kua mpolee....vile nyweleo vile akawa asema kwa xhida kuniaambia xtaki bhaaaana unanitekenya hiku macho kwenye Flati....nilizidi huku joka la Mdimu nimechachamaaa....linataka kutoka Pangoni na Mashallah nmejaaliwa xi haba....basii katika purukushaniza xtaki na nataka ili nimuachee mtoto akanipiga kikofi cha mapenzi nikawa kama nimekwepa ivi akapiga kwenye Dusheeee....mzee nikajifanya nimumiaa kwakua Mkurungwa alikua kadisa vya kutosha...yeye pia alizan kaniumiza akanifata kuninipa pole......shabashiii ilikua kosaa mamaee nikamvutia kwangu mtoto waa.....nikamvaa na romacee akagomesha kwa sec...then respond kama looteee....nilimlegeza vya kutosha NAWA xana zulfa akawa anahema juju....kiukweli nilikua nina kama week 3plus xijaONA kitu ya HAWA....fumba fumbua nimemuweka chura nikapaka matee Kama Yesu alicyomponya kipofu matee yanamaajabu jamani.....ile pyuu mtoto aligumiaaa kwa ndani na kuanza kukata mauno.....kadiinilivyozdii ndoo akazidi kutoa xauti kumbe mizuka ikazidi kupanda....potelea....acha wasiki wapangaji wenzang tuu....mpaka xaa 4 kasoro mtoto hoiii nilipomuacha akauchapa usingizi wa ajabu.....kwakweli alikua Mtamuuu I Fu**ckedddddd her like Never before....Tuli"enjoy serious tulipokezana miguno tu......




[emoji1696][emoji1696][emoji1696][emoji1696]Note:nakuja tena xiku ingine baada ya kumFu***ck Huyu Dada nilivyo pondwa na wapangaji wenzangu Wakike coz WAPANGAJI TULIKUA 4 MNIGGA PEKE YANGU WA3 WADADA AMBAO NIxingle Moms!......asante kwa kusoma.[emoji120][emoji120][emoji120] kilichotokea baada ya kupondwa[emoji12][emoji12][emoji12] ujana raha

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Una umri gani ? Uandishi mmbovu Sana , unaharibu maana ya story yote !!!
 
Mkaenda guest house ili kutomasana mpaka jioni kisha mkaondoka halafu mkarejea. Mkuu kuwa serious
Yah very serious maana ye alinigomea kula mzigo muda ule alitaka tukeshe na angenipa mchana usiku aliofu pengine nisingerud na ye ndo alilipa chumba ,.
 
Wanaosema mengi ni uongo, jibu ni tembea uyaone. Kuna mambo ya ajabu huwezi amini ni Tanzania hii hii.

Anyways ya kwanza kwa urefu wake, kwangu ni,

2014 hyo nilikuwa natokea mkoani kuelekea kuanza 1st yr chuoni dsm. Nilifikia kwa sista maeneo ya Tabata Baraccuda, kijana nikaandaliwa chumba changu cha nje nikawa ndo nimefikia hapo. Nilikuta kuna watoto wa kike kadhaa pale home, na mwanzoni tu niliwascan haraka haraka nikaona mmoja ananifaa hata kiumri, uzuri na mambo mengine (wanaume mnaelewa naongelea nini).

Ndani ya siku chache hivi ile kuzoea zoea na kuanza story mbili tatu na wenyeji pale, nikawa nipo nipo comfortable kiaina. Jioni moja hivi watu tulikua tunapiga piga story nikaaga naenda dukani. Ile naanza kwenda nikasikia naulizwa "Unaenda duka gani?". Nikamwambia nataka ninyooshe miguu kidogo mpaka barabarani baraccuda kule. Akasema "Nisubiri basi mwenyewe kuna kitu nataka nikachukue."

Basi tukatoka pale home mdogo mdogo tunapanda na barabara ile inatokea tabata chang'ombe mpaka baraccudda kule, pale pana ki mini-supermarket flan hv akasema anataka aende kununua chocolate, nikamsindikiza akachukua alivyotaka tukasepa. Sasa wakati tunarud na barabara ile ile; akaniambia "Hii ndefu tupitie hivi kuna shortcut". Kuichek shortcut yenyewe naona full magiza giza kwa mbele, baharia nikasema hapa litmus test zimekamilika.

Ile tunakaribia karibia gizani mtoto akaanza kupunguza speed. Akasimama. Nilikua nimempita hatua kdogo, kugeuka nyuma hvi, tulivyokutana macho tukaangaliana kama sekunde 2. Kwakua nilikua nishaelewa mchezo mzima, nikapeleka mkono kiunoni; kumvuta akaja bila kusita. Niliinamisha shingo kdogo tu tukaanza kukiss. Alikua na lipsi laini balaa, yani hazina kiu, kama zile zimekauka/ngumu flan hv. Sasa mtoto yule mizuka ilianza kupanda nikaona haya maeneo itakua soo. Tukasitisha pale, tukaelekea home.

Hakuna kubwa lililotokea ndani ya masaa machache baada ya hapo. Baadae watu wameshaenda kulala niko zangu tu nimekaa chumbani, ikaingia sms "Umeshalala?" nikamwambia "Hapana sina hata usingizi. Njoo". Hakujibu SMS. Dakika chache tu, kama 2 hivi, naskia mlango wa nyumba kubwa unafunguliwa. Halaf kama sekunde 20 baadae, mlango wangu na wenyewe ukafunguliwa; huwa si ufungagi mpaka nnapotaka kulala kabisa. Basi moja kwa moja kaingia ndani akaenda kukaa kwenye kochi.

Vikaanza vile vimaswali visivyokuwa na mbele wala nyuma. "Mbona kuna giza hivi, huogopi?" wakati mtu unaona kabisa nimezima taa. Basi wala hata sikupoteza muda, nilimvuta kidogo tu kuja kitandani akaja mazima. Alikua kavaa kanguo flani hv ambako baadae nilikuja kujua hakuwa kavaa chupi. Kukapigwa mgegedo wa kimyakimya. Tulivyomaliza akarud zake nyumba kubwa na kufunga mlango. Baada ya dakika kama tano, Alinitumia sms za ahsante na nini, mpaka leo hii 2019 screenshots zake ninazo.

Kuna siku nyengine, mimi ndo nilikua wa mwisho kwenda kulala akaniambia nimshtue nikiwa natoka aje afunge mlango, tukaishia kugegedana jikoni kwenye process za kutakiana usiku mwema!

Nimeishia hapa.
Narudi baadae nimalize stori zote.
Huu uzi ni Nyoko!!!
 
TAREHE 8/1/2021 IJUMAA

Wiki Moja Baada Ya Mwaka Mpya Ilikuwa Majira Ya Saa Tano Asubuhi Kuelekea Saa 6 iv. Kikawaida Mi Si Mtu Wakutembea Tembea Sana Kama Nikiwa Sina Ishu Mahalumu

Huwa ni mtu wa kushinda Ndani tu Nakuchek Movie,Ila cku iyo Nikasema Wacha Nikatembee tembee Hasa Maeneo ya Stend Angalau Nicheki cheki Magari Yanavyoingia na Kutoka.Basi Mdogo Mdogo Mpka Stend Kuu Ya Mabasi,Baada Yakufka pale Nikakaa Kwenye Mabench ya Abiria ya Basi Moja Maharufu Nchin Uku nikiendelea Kushangaa Kilichonileta

Pembeni yangu Alikuwa kuna Dada Mmoja iv Mwenye Umri Wa Kuanzia Miaka 23-26 iv Sikuwa Na Story Nae Yule Dada Zaid ya Salamu Pale Nilipofika.Nilikaa Muda Kidogo Kama Dakika 15 au 20 iv Dakika Zote Izo Yule Dada Alikuwa Anajifyonza Fyonza Sana,Mwanzoni Nilipuuzia Ila Kadri Muda Ulivyokwenda Nikaona Anajidisha Ile hali So Nikaona Nimuulize Vipi Mwenzangu Kulikoni Mbna Unajifyonza Sana Kuna Mtu Kakuudhi au Kuna tatizo Gani!?
Yule Dada Akanijibu "Nimekuja Kukata Tiketi Natakiwa Kesho Niende Iringa Lakin Wameniambia Nauli Haitoshi Na Sina Hela Nyingne yakuongezea Na Sijui Nitaitoa Wap Nimejarbu kuwaomba wanisaidie Wamekataa"! Daah Nikamuuliza tena Vipi Umeenda Kujarbu Labda Kwenda Kwenye Oficn za Mabasi Mengne Labda Kuwaomba Wakusaidie Pengne,,,

Akanijibu tena " Nimejarbu Kama Sehemu Mbili na hii ya 3 pote Imeshndkana" Basi Nikamwambia Aina haja Ya Kusikitika ivyo Pia nikamuuliza Katokea Sehem gan Hapa Akanitajia Sehemu moja Iv Mbali kidogo Na Mji Nauli kama 3000 iv Na akaniambia Anakaa na Dada yake. Ikabidi nimuulize Tena Yeye Anawaza nn Hapo Akaninibu Itabidi Arudi tu Kwa Akamwambie Dada Ila Ataakirudi ajui kama Iyo hela ya Kuongezea itapatikana,!
Nikamwambia Basi Dada ucjal Naomba Nikusaidie Kama Hutojal Ili Uondokane Na Usumbufu huo wote.....

Ebana Wadau yule Dada Alionesha Mshtuko na Kama Kutokusikia Ile Kauli Mpka ikanibidi Nirudie Tena,Yule Dada alinishukuru Mpka Kupelekea Watu Waliokuwa Karbu yetu Kumshangaa Hahaha
Muda Wote Naongea Nae ila ukweli Yule Mtoto Alitokea Kunivutia Sana Wazee C mchezo Maana Anailo Zigo uko nyuma Alikuwa Kakaa Kwenye Bench Lakn Unaona Kabsa Tako halijaenea Yan Bench ni Dogo ,Mapaja Manene Na Mdomo Mmoja Wa Denda Daah
Basi Pale Ikanibidi Nimwambie Inabidi Twende Napoishi Kwnza Ili nikachukue Kadi Ya Bank Nikakutolee Icho Kiasi Kilichopelea nikamuuliza Ni Shingap Akanijibu ni 15,000
NIkainuka pale Tukaanza Kuongoza Safar ya Getto Njian ni Shukran tu Kama zote Mi hata Simzingatii Nawaza Tapigaje hii PISI mbna ipo kiutamu iv Tako linacheza Kinoma Daah Asee Nipo njian nilidindxha Sio Poa MPKA Ikanibidi Niwe naingza Mkono Mfukoni Niizuie zuie Hahaha

Mdogo Mdogo Mpka Getto Kufka Nikamkaribisha Nikamtania kidogo Nyumba yangu Aijaingiliwa na Mgeni Wa Jinsia Kama Yako Muda Mrefu Sana, Nikamwambia Mgeni Wa Mwisho Mwanamke Alikuwa ni Mama Yng na Nimiaka Miwili imepita Ivyo Nitafurahi Tukikaa kaa Kidogo Angalau Ukanipikia Maana Nishachoka Kwenda Migahawani Afu Tuimaliza Twenzetu Maana Tiketi Haina haraka Sana Hata Ucku Unakata tu

Akachekacheka Pale Then Akaniambia "Aina Shida Bro ila Naomba Nikajimwangie Maji Tumetembea Nahc joto Sana" nikamwambia Ucjal nikatoka Nikamuonesha Bafu Na ndoo ya Kuogea then Nikabak njee Ili Avue Nguo,,,Muda Wote Nawaza Nitamuanzaje Uyu!! Maana Kama Kudindixha nishandindixha Mpka Misuli Inauma Daah!
Basi Bana Mtoto Kumbe Alibeba Kanga Kwenye Mkoba Wake Ile Kutoka Njee Na Kanga Moja Na Lile Tako Mamamama Asee Lile Tako sijawah Kuona lilizidi Kunesa Nesa Afu Linaonekana nilaini Kinoma Yan Daaah!!!
Asee Uzalendo Ulinishinda ikabidibi Nimkodolee Macho Laivu Laivu Pind Aliponigeuzia Mgongo,Nilidindisha Raundi Hii Sio Poa Mpka Boxer Ilitaka Kutoboka Wazee Kama Nae Alijua Alivyokaribia Kufka Bafuni c Akageuka Bana Tukagongana Macho Hahahaha Ikabidi Nizuge Narekebisha Pazia Mlangoni

ITAENDELEA.....
Kama alipungukiwa 15k, unamaanisha alienda stand kukata tiketi ta kwenda Iringa kwa elfu 10?
 
Ngoja nishare kisa changu labda kina kijana itamsaidia😊

Kuna sehemu nilikua nimepanga kipindi hiko
Kutokana na tabia yangu ya kutoshinda nyumbani na kutopenda kujichanganya so nikawa sijazoena kabisa na watu wa mtaani kwahyo huwa wananionaga mkimya na mwenye majivuni

Siku moja weekend asubuhi naenda dukani njiani nikaitwa kugeuka akaja sister flani hv sio mkubwa kivile mzuri kuanzia sura mpaka umbo😀😀😀

Akaniambia samahani kaka nakuonaga sana asubuhi unaenda dukani kununua soda mi natengeneza juice ni tam sana Yani

Hapa nlikua naenda dukani kununua vocha lakini nikaona sio mbaya kumuungisha
Nikamwambia sawa Kuna kitu naenda kununua dukani kwani unakaa wapi nikirudi niipitie?? Akaniambia Yani kila siku unapitaga hunionagi??
Nikamjibu tatizo watu wengine tunatembea na stress kwahyo Yani tunatembea Kama maroboti
Akacheka sana alafu akanionyesha
Tukaagana mi nikaingia shop kurudi nikapitia kwake nikanunua then nikaondoka

Kuanzia hapo tukaanza kuzoeana na nikawa mteja wake mzuri tu
Lakini sikuwahi kufikiria mambo ya kula tunda😀😀

Siku nikamwambia anipe no zake niwe nampigia amtume mtoto aniletee maana mda mwingine naonaga uvivu kutoka
Akanipa fresh sometmz tukawa tunachat Mambo ya kawaida tu akianza kuniulza kuhusu Mambo ya mahusiano huwaga simjibu au nakwepesha so akajiogeza kuwa sipendi maswali hayo na hakuwahi kunigusia tena

Siku nikampigia aniletee juice nikashangaa kaja mwenyewe
Nikamuuliza mbona hujamtuma mtoto??
Akaniambia hawapo wote akaona aje mwenyewe
Nikamwambia samahani nimekusumbua mdada mrembo
Akatabasam tu huku ananiangalia
Basi nikamkaribisha ndani akaingia tukakaa kochi moja

Muda huo alinikuta naangalia movie zangu pendwa za kutisha😋😋

Nakumbuka nilikua naangalia kuna movie inaitwa A quite place
Sasa kwenye kuangalia akawa anaogopa kuangalia mi nikamwambia sogea karibu ukiona unaogopa nikumbatie
Kama utani kweli kanisogelea akapitisha mkono wake mmoja kiunoni kwangu alafu kaniegemea
Nikashutuka ila nikatulia Kama hamna nilichotokea
Kimoyo moyo nasema
"MUNGU MBONA UMENIPA JARIBU KUBWA HIVI??"😂😂

Nikaona huyu asinitanie nikamgeukia piga sana romance
Nikamlaza hapo hapo kwenye kochi chezea sanaa nikamchojoa nguo zote mda huo nikajua kabisa cna condom ndani nikawaza nichape kavu nini? Ila nikaona nisifosi
Nikamwambia ngoja nikannue ndom akaniambia hata ivyo muda umeenda atakuja siku nyingine muda 4g imekomaa😬😬
Kila nikimfoc hataki kinisubiri nikaona sio kesi nikamwacha huku roho inaniuma balaa
Nilionyesha nimekasirika nae hakujisumbua kunibembeleza akaondoka

SIKU KADHAA MBELE KUNA WASHKAJI WAKAJA KUNICHANA HUYO SISTER ANA NGOMA KUWA NAE MAKINI AU PIGA NA NDOM

Yani siku ile ilikua ndefu sanaa kwanguu mitungi iheshimiwe
Nikawa najiuliza hata kwa zile romance c naweza kuwa nishaukwaa😀😀😀
Ilikua hata nikikohoa nahc ndo tayar😂
Nashukuru Mungu nilikuja kupima niko fresh kabisa

WAKUU STAREHE YA SIKU MOJA/LISAA TU INAWEZA KUKUHARIBIA MAISHA YAKO YOTE TUWENI MAKINI

(Uandishi wangu sio mzuri but hope nimeeleweka)

Funzo kubwa sana. Akili kichwani. Masihara yana hatari yake
 
Hii ilitokea kipindi nipo olevel shule flan mkoa mmoja kanda ya ziwa

Class kwetu kulikuwa na demu namkubali kinoma, Kila mtu class anajua Mimi namkubali, baya tulikuwa washkaj sana na huyo demu, marafki kinoma

Nakumbuka kuna siku nilikuwa naumwa, sijaenda shule Kama siku 3, nipo home tu, siku ya tatu nikawa najiskia fresh ila sikwenda skull na mother nae akawa kasepa kwenye mishe zake (home tulikuwa tunaishii mimi na mother tu nyumba kubwa + wapangaji vyumba vya nje).

Basi ilikuwa mida ya saa14 hivi, nikaskia hodi, kwenda kucheki yule rafk yangu ambae namtamani kinoma, nikamkaribisha vizuri mpaka sebureni, tukapiga story mbili tatu za kunipa pole, huku mwenzie namlia timing, akaniambia amepita kunisalimia kidgo saa16 wameambiwa warudi shule, nikamwambia nashukuru, sijui shetani gani akaniingia akilini, nikamwambia nikuwekee movie ya kibongo mpya?, akakubali, kumbe mwenzie nimepanga kujilipua, nimuwekee movie ya porno, Basi nikamuwekea movie ya porno afu nikatoka nje, zikapita Kama dakika15, nikaenda dirishani kumchungulia, kumcheki kakodoa mimacho tu kwenye screen yuko hoi, faster mzee nikazama ndani nikatanua miguu na kujilia tunda easy tu

Kuanzia hapo alikuwa demu wangu mpaka tulipomalza olevel, sitahasahau lile tukio, na mpaka leo huwa tunawasiliana na ananikumbushia
Kitu cha TATEPA
tapatalk_1611850842463.jpeg
 
Mnakera sana,
Hamjawai kuleta simulizi hata moja lakini kila mnapambna ooh chai chai,
Kaeni kimya pigo za ujuha ujuaji mwingi.

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Wanawake wanaovaa suruali na kuwa na kodorani. Wana tabu sana, kila kukicha ni usumbufu huo. Hawajii Kama hizi stori wanazoweka wengine wanaficha mambo kusudi wasijulikane, wanageuza mazingira na hata majina kusudi tu mhusika asifahamu. Anakuja kusema chai, utafikiri aliulizwa vile. Kama si kuwashwawashwa huku ni kitu gani? Kama ameona hakuielewa na ina utata kwake, apite kimya hakuna mahali palipoandikwa aliwekewa mahsusi asome yeye. Hadi ajae kiherehere hivyo kama mjamzito mwenye mate mdomoni
 
Wametofautiana. Wangu huwa anafanya upekuzi wa simu zangu zote Usiku wa Manane ukiwa umelala.

Yanini nimuumize Wife kwa vitu naweza kuviepuka. Kwanza hata vitu nakwepa ni pamoja na Camera room, yaani nitahakikisha simu ya Manzi imezimwa, au vinginevyo imekaa mezani naiona.

Mademu wengine hawaeleweki, wanaweza kuchukua picha then wakaja kukublack mail. Wengine tunaheshima zetu kitaa
hakuna msala mbovu kama kukutwa ready handed mkuu 😀 😀 😀
 
Huu Uzi umeniponza pakubwa Sana'a
Najuta yaani
Baada ya kusoma kisa cha mwamba mmoja alietafuna rafiki wa mkewe nami nikajipa umwamba.

Majuzi hapa nikamcheki rafiki wa mama yoyoo home .
Nikmwambia nije kwake nna mazungumzo nae.
Akasema niende.

Basi Baharia nikabeba na kondomu kabisaaa huku moyo ukisuuzika kabisa

Kufika baada ya stori mbili tatu nikamsogela kwenye sofa alipokuwa amekaa .
Nikakumbuka ile tecnic ya yule mwamba wa Uzi ule (kushika paja)

Ile kushika tu naona yupo kimya .
Nikasema mambo yametick Leo kiazi najilia vinono .

Nikapanda mpka kwenye matiti
Kufika hapa ghafla nikastuka bonge la mkibao limetua usoni ..yaani mpaka nikaona mabati yapo sita sita .

Ikabidi nitoke nduki Mimi mwana wa nyange ..bahati nzuri mpka sasa hajasema kwa mama yoyoo.

Kila ninapomuona huyo Dada nakuwa mpole utadhani nimejamba ukweni.

Ulaaniwe huo Uzi
Alaah
 
Back
Top Bottom