Una umri gani ? Uandishi mmbovu Sana , unaharibu maana ya story yote !!!
 
Mkaenda guest house ili kutomasana mpaka jioni kisha mkaondoka halafu mkarejea. Mkuu kuwa serious
Yah very serious maana ye alinigomea kula mzigo muda ule alitaka tukeshe na angenipa mchana usiku aliofu pengine nisingerud na ye ndo alilipa chumba ,.
 

Nimeishia hapa.
Narudi baadae nimalize stori zote.
Huu uzi ni Nyoko!!!
 
Kama alipungukiwa 15k, unamaanisha alienda stand kukata tiketi ta kwenda Iringa kwa elfu 10?
 

Funzo kubwa sana. Akili kichwani. Masihara yana hatari yake
 
Kitu cha TATEPA
 
Mnakera sana,
Hamjawai kuleta simulizi hata moja lakini kila mnapambna ooh chai chai,
Kaeni kimya pigo za ujuha ujuaji mwingi.

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Wanawake wanaovaa suruali na kuwa na kodorani. Wana tabu sana, kila kukicha ni usumbufu huo. Hawajii Kama hizi stori wanazoweka wengine wanaficha mambo kusudi wasijulikane, wanageuza mazingira na hata majina kusudi tu mhusika asifahamu. Anakuja kusema chai, utafikiri aliulizwa vile. Kama si kuwashwawashwa huku ni kitu gani? Kama ameona hakuielewa na ina utata kwake, apite kimya hakuna mahali palipoandikwa aliwekewa mahsusi asome yeye. Hadi ajae kiherehere hivyo kama mjamzito mwenye mate mdomoni
 
hakuna msala mbovu kama kukutwa ready handed mkuu 😀 😀 😀
 
Huu Uzi umeniponza pakubwa Sana'a
Najuta yaani
Baada ya kusoma kisa cha mwamba mmoja alietafuna rafiki wa mkewe nami nikajipa umwamba.

Majuzi hapa nikamcheki rafiki wa mama yoyoo home .
Nikmwambia nije kwake nna mazungumzo nae.
Akasema niende.

Basi Baharia nikabeba na kondomu kabisaaa huku moyo ukisuuzika kabisa

Kufika baada ya stori mbili tatu nikamsogela kwenye sofa alipokuwa amekaa .
Nikakumbuka ile tecnic ya yule mwamba wa Uzi ule (kushika paja)

Ile kushika tu naona yupo kimya .
Nikasema mambo yametick Leo kiazi najilia vinono .

Nikapanda mpka kwenye matiti
Kufika hapa ghafla nikastuka bonge la mkibao limetua usoni ..yaani mpaka nikaona mabati yapo sita sita .

Ikabidi nitoke nduki Mimi mwana wa nyange ..bahati nzuri mpka sasa hajasema kwa mama yoyoo.

Kila ninapomuona huyo Dada nakuwa mpole utadhani nimejamba ukweni.

Ulaaniwe huo Uzi
Alaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…