Ndio nisha wai
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu bahati ya mwenzio usiilalie mlango wz
 
Dah [emoji2][emoji2][emoji2]
 

Siku Ukipenda utabadilika....
Mfano!
Labda tangu zamani ulikuwa unaniona niko Poa,Roho Nzuri Mstaarabu na Kimwili ni fit,Ukawa huwezi kuniambia...
Inatokea siku tunasafir Pamoja au Tunakutana Mkoa mwingine au nakusaidia kitu unajikuta tuu Unanitengenezea Mazingira mwenyewe ya Kukukuka Kimasihara!
Ndio watu kama nyie mnavyoliwa tena Hata Kabla ya 50,Hii 30s-45!
Na Inakuwaga Tamu hiyooo acha tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…