Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasiraa, jamaa ake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.

Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika i need somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi?? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika ake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.

Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.

Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?

===========
TAKE NOTE:
===========

Moderator: Hii thread imerejeshwa na owner wa mjadala amekuwa rikiboy kama ilivyoombwa na wadau. Mnaombwa kuzingatia lugha katika uwasilishaji wa maoni
Ndio nisha wai
 
Huu Uzi umeniponza pakubwa Sana'a
Najuta yaani
Baada ya kusoma kisa cha mwamba mmoja alietafuna rafiki wa mkewe nami nikajipa umwamba.

Majuzi hapa nikamcheki rafiki wa mama yoyoo home .
Nikmwambia nije kwake nna mazungumzo nae.
Akasema niende.

Basi Baharia nikabeba na kondomu kabisaaa huku moyo ukisuuzika kabisa

Kufika baada ya stori mbili tatu nikamsogela kwenye sofa alipokuwa amekaa .
Nikakumbuka ile tecnic ya yule mwamba wa Uzi ule (kushika paja)

Ile kushika tu naona yupo kimya .
Nikasema mambo yametick Leo kiazi najilia vinono .

Nikapanda mpka kwenye matiti
Kufika hapa ghafla nikastuka bonge la mkibao limetua usoni ..yaani mpaka nikaona mabati yapo sita sita .

Ikabidi nitoke nduki Mimi mwana wa nyange ..bahati nzuri mpka sasa hajasema kwa mama yoyoo.

Kila ninapomuona huyo Dada nakuwa mpole utadhani nimejamba ukweni.

Ulaaniwe huo Uzi
Alaah
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu bahati ya mwenzio usiilalie mlango wz
 
Pale ofisini kwetu bachelor nipo mimi peke yangu, sasa kuna mwenzetu alikua hayupo kama mwaka na nusu yupo U.K anajiendeleza kimasomo, sasa changamoto ya corona akawa amerudi.
Sasa siku amerudi nipo na secretary ( mke wa mtu), akawa ananiuliza dogo bado tu hujaoa? Huko CHAPUTA utatoka lini fanya uoe.

Sasa jamaa alivyoondoka yule Secretary akaniuliza chaputa ndio wapi huko? Nikamuambia ni chama cha wapiga punyeto, akacheka sana akaniambia kwa hiyo na wewe unapiga, nikamwambia napiga sana na tena ni tamu kuliko k.

Akasema huo ni uongo labda hujawahi kukutana na mwanamke mtundu sasa watu wakawa wamekuja ofisini mazungumzo yakaishia hapo.

Sasa siku moja jumapili niko zangu ghetto, secretary akaja eti anataka nimuwekee program moja hivi ya data analysis kwenye PC yake.

Sasa tumekaa pale sebuleni akaona mche wa sabuni, akaniuliza kwa hiyo umeamua kununua mche mzima wa kupigia punyeto tu halafu akacheka.

Nikaona huyu kwa hizi story anataka mashine, nikamsogelea jirani nikaanza kumtomasa naona 0
resistance nikajilia vyangu mtoto alikua fundi yule. Tulivyomaliza nikamwambia kumbe nilikua sijawahi kukutana na fundi ndio maana nilikua naisifia punyeto akacheka akafurahi.

Ila mimi moyoni najisemea sawa nimefurahia ila punyeto babalao kwa sababu unajichagulia size unayotaka, moisture content, na Temperature ukiona joto limezidi unajirushia vimaji kidogo, sasa hayo yote hauwezi kuyapata kwa mwanamke mmoja.
Dah [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Dah,mbona mi siwezi kuliwa kimasihara au nakwama wapi,nimekosa hata story ya kusimulia,jamani yaani mi nshakuwa na misimamo yangu yaani hata niwe wapi kama sijapanga kufanya kitu siwezi kufanya,nasikia et ukamtomasa akakaa kimya mara nkamla denda,nikaona hapo sawa. kwanza mimi ukinitomasa mfano kimasihara sitasense chochote na naweza pia kukuwasha kofi la ghafla na pia ni ngumu sana mimi kukaa mazingira ya hatari na me labda nije nibadilike nikiwa kwenye miaka 50 lakini kama niko hvo tangu nkiwa mdogo sidhani kama ntabadilika sasa

Siku Ukipenda utabadilika....
Mfano!
Labda tangu zamani ulikuwa unaniona niko Poa,Roho Nzuri Mstaarabu na Kimwili ni fit,Ukawa huwezi kuniambia...
Inatokea siku tunasafir Pamoja au Tunakutana Mkoa mwingine au nakusaidia kitu unajikuta tuu Unanitengenezea Mazingira mwenyewe ya Kukukuka Kimasihara!
Ndio watu kama nyie mnavyoliwa tena Hata Kabla ya 50,Hii 30s-45!
Na Inakuwaga Tamu hiyooo acha tuu
 
Back
Top Bottom