Namshkuru Sana wife.Ongeza nakshi kidogo kama ndugu zetu wa moslem ...jamaa ana wife mwenye hekma
Ni Tena dada angu, shemej anakwama wapi eti?[emoji4]Mi nimeolewa ila cha moto nakipata[emoji848][emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Njoo nikupe summary ya matukio yake kwa vitendoNimeishia hapo alipoandika "Ni stori ndef ila ntajaribu kuifupisha kadri ya uwezo wangu"
Dia babu Asprin naomba summary
Maisha ya kuigiza igiza Hadi lini?...Mengi nimefupisha,
Uyu uyu mchepuko nliemzaba makofi Kuna kipind aliwahi fua nguo nlizokuja nimevaa ili nisirudi home.
Anadai
"Nmeziona chafu nmeona nizisafishe"
Nkamuuliza,
"Kwaiyo umezifua unategemea ntavaa Nini sasa nkitoka hapa"
Akajibu
"Ooh, kwani unaondoka? Mi nkajua Leo unalala uku mpk kesho!"
Nkamuuliza,
"Kwani nlikwambia leo nalala uku? ,
Kwani ujui natakiwa kurud home kwa wife. Narudije sasa, uchi au?"
Nkaona ananiletea usiku TU uyu, analazimisha nilale kwake.
Fasta nkampigia wife
"Chukua ovaroli,gloves, praizi mbili, kata moja, Lile jinzi gumu gumu na TISHETI YA KAZI. Kuna dili moja nimepata mida hii mpe boda boda aniletee hapa kazini chap"
Boda alipofika kazin ananipigia hanioni, nkamuelekeza ampe mshkaji wangu nishamseti tayari aniletee chap kule kwa mchepuko.
Nkatoka kwa mchepuko, nkaenda zangu kwa rafki angu.
Kufika kwa rafk angu, nkampigia wife msosi muesabu na shemej ako kabisa maana tutarudi mida mibaya na migahawa washafunga. So unajua shemej ako uyu Ni bachela. Msitili kwa leo.
Wife kakubali.
Tumezuga zuga mpk mida ya saa 8 usiku, tukajipaka vumbi kias na top kwny viatu tukaelekea home kana kwamba tumetoka saiti.
NIKAJINASUA KWNY MSALA, MAMBO YAKAENDA VIZUR
Sent using Jamii Forums mobile app
Nnapokuepo,Je mkeo ni mfanyakazi rasmi ? Au ni Mama wa nyumbani?
[emoji23][emoji23][emoji23]hii Mbona Ni hatari sanaBora hata ww.....
mm nikiingia choni tu bahati mbaya akapiga missed call moja tu.....
atanuna wiki tatu
Umeongea point Sana mkuu[emoji26]Tabu zoote hizo za nini..
Halafu sisi wanaume tunajificha kwenye kichaka cha HULKA
Matamanio tumeumbiwa, ni mtihani kwetu sisi, hiyo inabidi tuyashinde hayo matamanio tuwe wenye kufaulu, na sio kuendekeza na kuwa ni wenye kufaulu.
Tizama chief, vipi kama mkeo angekuwa na akili fupi akajidhuru(kujiua) tayar kina G ungewapa majanga mengine.
Vipi kama angekufa kwa ile presha, bila kujua km mchepuko kasababisha, kwa akili za nyege inawezekana na huo mchepuko ndio angekuwa mke anaefata kumrithi marehemu, sasa jenga picha una kichwa maji kama huyo ndio mkeo, familia unaitengemeza ama unaizamisha[emoji848]
Pale niliteleza mkuu, Yule mwanamke alkua hajitambui kabisaPamoja na changamoto zote ulizopita bado huachi michepuko una roho ngumu, achana na hao visirani
[emoji23][emoji23][emoji23]ntamuua bure mkuu,Mie nashauri kila akikusogelea uendelee kumzaba vibao huyo mchepuko hadi akusahau....aacha kufananisha ndoa na vitu vya kijinga.... hahaha
Changamoto Sana mkuu, ila ntajitahidi.Maisha ya kuigiza igiza Hadi lini?...
[emoji4][emoji4][emoji4]hatari Sana mkuuNjoo nikupe summary ya matukio yake kwa vitendo
Si mchezo. Ila dawa yake niliishi kama yeye sms za kusema aendelee na umalaya nikikuta simu inatumika nawaka vibaya. Amenyooka kiasi chake siyo kabla sijapiga hilo igizo.Bora hata ww.....
mm nikiingia choni tu bahati mbaya akapiga missed call moja tu.....
atanuna wiki tatu
Hapana bhana zimezidi za vyuo tyuuh humu. Inachosha na kuondoa ladha ya uzi. AaaaahZa uraiani zipo nyingi tu mbona anza na page ya kwanza kabisa
Tusimulie kimasihara yako, it must be awesome🤗🤗Hapana bhana zimezidi za vyuo tyuuh humu. Inachosha na kuondoa ladha ya uzi. Aaaaah
Toka hapa uongo tyuuh, ki masikhara mnawaokota hawa wa vyuoni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu tumekula kimasikhara mpaka wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama ila hatusemi kwa sababu za kiusalama, kula sana wayahudi, masadukayo, waebrania, tanapa, mabaharia wa kike, wamasai na kila kiumbe chenye pumzi na jinsia ya kike ila tunaogopa kusema hadharani kwa sababu tutaonekana tuna elements za abnomalities
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jaribu uone utakavyojamba bila utaratibu maalumu wa wizara