Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Ongeza nakshi kidogo kama ndugu zetu wa moslem ...jamaa ana wife mwenye hekma
Namshkuru Sana wife.

Mambo Kama haya ndo yananikumbusha ule msemo wa mkubwa wetu humu Jokajeusi kua na Mimi pia Ni miongoni mwa wanaume tuliooa wanawake bora kabisa wa maisha.

Kwa maana nilimkuta sealed kabisa Miaka iyo nakimbizana na ujana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mengi nimefupisha,
Uyu uyu mchepuko nliemzaba makofi Kuna kipind aliwahi fua nguo nlizokuja nimevaa ili nisirudi home.

Anadai
"Nmeziona chafu nmeona nizisafishe"

Nkamuuliza,
"Kwaiyo umezifua unategemea ntavaa Nini sasa nkitoka hapa"

Akajibu
"Ooh, kwani unaondoka? Mi nkajua Leo unalala uku mpk kesho!"

Nkamuuliza,
"Kwani nlikwambia leo nalala uku? ,
Kwani ujui natakiwa kurud home kwa wife. Narudije sasa, uchi au?"

Nkaona ananiletea usiku TU uyu, analazimisha nilale kwake.

Fasta nkampigia wife
"Chukua ovaroli,gloves, praizi mbili, kata moja, Lile jinzi gumu gumu na TISHETI YA KAZI. Kuna dili moja nimepata mida hii mpe boda boda aniletee hapa kazini chap"

Boda alipofika kazin ananipigia hanioni, nkamuelekeza ampe mshkaji wangu nishamseti tayari aniletee chap kule kwa mchepuko.

Nkatoka kwa mchepuko, nkaenda zangu kwa rafki angu.

Kufika kwa rafk angu, nkampigia wife msosi muesabu na shemej ako kabisa maana tutarudi mida mibaya na migahawa washafunga. So unajua shemej ako uyu Ni bachela. Msitili kwa leo.

Wife kakubali.

Tumezuga zuga mpk mida ya saa 8 usiku, tukajipaka vumbi kias na top kwny viatu tukaelekea home kana kwamba tumetoka saiti.

NIKAJINASUA KWNY MSALA, MAMBO YAKAENDA VIZUR

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya kuigiza igiza Hadi lini?...
 
Mie nashauri kila akikusogelea uendelee kumzaba vibao huyo mchepuko hadi akusahau....aacha kufananisha ndoa na vitu vya kijinga.... hahaha
 
Tabu zoote hizo za nini..

Halafu sisi wanaume tunajificha kwenye kichaka cha HULKA
Matamanio tumeumbiwa, ni mtihani kwetu sisi, hiyo inabidi tuyashinde hayo matamanio tuwe wenye kufaulu, na sio kuendekeza na kuwa ni wenye kufaulu.

Tizama chief, vipi kama mkeo angekuwa na akili fupi akajidhuru(kujiua) tayar kina G ungewapa majanga mengine.
Vipi kama angekufa kwa ile presha, bila kujua km mchepuko kasababisha, kwa akili za nyege inawezekana na huo mchepuko ndio angekuwa mke anaefata kumrithi marehemu, sasa jenga picha una kichwa maji kama huyo ndio mkeo, familia unaitengemeza ama unaizamisha[emoji848]
Umeongea point Sana mkuu[emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hata ww.....
mm nikiingia choni tu bahati mbaya akapiga missed call moja tu.....
atanuna wiki tatu
Si mchezo. Ila dawa yake niliishi kama yeye sms za kusema aendelee na umalaya nikikuta simu inatumika nawaka vibaya. Amenyooka kiasi chake siyo kabla sijapiga hilo igizo.
 
Mkuu tumekula kimasikhara mpaka wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama ila hatusemi kwa sababu za kiusalama, kula sana wayahudi, masadukayo, waebrania, tanapa, mabaharia wa kike, wamasai na kila kiumbe chenye pumzi na jinsia ya kike ila tunaogopa kusema hadharani kwa sababu tutaonekana tuna elements za abnomalities
Toka hapa uongo tyuuh, ki masikhara mnawaokota hawa wa vyuoni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom