Kabisa mkuu,
Michepuko wapumbavu Sana.
Wanasahau kabisa kua MAMA WATOTO ndo injini nzima ya familia.
Vihelahela, baraka, jeuri na fujo zetu mjini zinatokana na wake zetu walotuvumilia kweny ndoa kipind hatuna hata senti.
Leo Niko na senti,
Eti uyu Mbuzi wa kupita akamkoromee MKE wangu.
Aisee, sitakagi masihara kwa wife.
NAMPENDA SANA MKE WANGU, Sema ndo ivyo tamaa za mwili TU zinanivurugaga.
Ila DAIMA mke wangu Ni wa THAMANI SANA.
Mchepuko yeyote akitaka tuelewane, amheshimu Kwanza mke wangu uyu.
HAPO NDO MAMBO MENGINE YATAFATA
Sent using
Jamii Forums mobile app