sawa sawa boss ur noted ngoja nivunge vunge nikapime..
 
Mambo ya mahusiano sometimes unaeza fanya maamuz afu baadae ukajikana mwenyew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa mfuatiliaji mzuri wa huu uzi lazima uje na kisa chako, au lazima utengeneze mazingira ya kula tunda kimasihara[emoji1787][emoji1787]
 
Angekuwa wa thamani ungetulia naye,acha kujidanganya 😅😅
 
Kumbe umeoa mwanamke mjinga,na mchepuko wako wengi ni wajinga😅 mwanamke smart asijue jf?majanga😅😅
 
Najuta kwann nmeisoma,,nipo kwenye kikao cha familia nmedinda kama tembo maamae
 
Najuta kwann nmeisoma,,nipo kwenye kikao cha familia nmedinda kama tembo maamae
 
Najuta kwann nmeisoma,,nipo kwenye kikao cha familia nmedinda kama tembo maamae
 
Halafu alipofika nyumbani akaja muomba wife simu akakuta msg za za mchepuko amefuta na namba amefuta akaanza then uzuri namba yake nilikua naikumbukakumbuka mhmhmhhh kuna sehemu katunywesha chai ya malimao

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji39][emoji39]duh!!! Kummke ![emoji23][emoji23]ngoja nimpigie sm my wangu aniwah,
 
Sijasoma yote ila unakuaje kiazi kiasi hicho?
Kwamba mchepuko unakuzid nguvu?acha basi masiara.
Huyo hana nia nzuri na familia yako.mpotezee kbsa
Halafu usiwe na mchepuko permanent.labda kama unapenda uzinzi kuliko ugali.
 
Hii sasa itakuwa sio kimasihara unapanga kabisa mikakati.
 
Sijasoma yote ila unakuaje kiazi kiasi hicho?
Kwamba mchepuko unakuzid nguvu?acha basi masiara.
Huyo hana nia nzuri na familia yako.mpotezee kbsa
Halafu usiwe na mchepuko permanent.labda kama unapenda uzinzi kuliko ugali.
Wewe unavyochepuka unakuwa na Nia nzuri kwa familia yako...why Mimi niwe na Nia nzuri.kwa familia yako..?

Eti NATAKA mchepuko anihudumie.kama wife ila... hatakiwi kujiona wife...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....

Michepuko na iwakomeshe vibaya mmo

Hadi maji muite mma...yaani mpate MAJUTO Hadi siku roho inatoka huwezi msahau huyo mchepuko
 
Pole tayari mkuu
Anzaa dawa mapema
Kwa maelezo uliyo toa demu amewaka
Am medical personnel
Usiogope hiyo ni Kama mafua tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…